Hela za wanawake wengi tunapewa sisi watengeneza urembo

Hela za wanawake wengi tunapewa sisi watengeneza urembo

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
1,224
Reaction score
1,250
Habari wanajamii forums hopefully mko fine.

Leo nilitaka kuwaambia wanaume wenzangu ambao walikuwa na maswali kama

1. KWANINI WANAWAKE NI WABAHILI SANA?
2. HIVI WANAWAKE HELA ZAO WANAPELEKA WAPI?

Jibu ni very simple, wanawake wengi hela zao zinaishia kwenye mavazi,vipodozi,na urembo wa kila aina.

Mfano mimi natengeneza sana vidani vya shingoni na mikononi,wanawake wenyewe wananiambia hawawezi kutoa hela yao ya mfukoni kununua unga, chakula wakati baba mwenye nyumba yupo na haya mambo yetu ya urembo ndipo utakapojua wanawake wana hela balaa na sio wagumu hata kidogo kwenye kununua vitu hivi.

Kwa hiyo kama umempenda we mpende tu ila achana na hela zao.Utasikia niache kupendeza nihangaike na mahitaji ya ndani wakati mume wangu yupo.

HAYA NDIO MAJIBU YA MASWALI YENU WANAUME WENZANGU. SAMAHANI SANA WATENGENEZA UREMBO WENZANGU KWA KUTOA SIRI HII

Siku njema kwenu
 
HUO NDO MZUNGUKO WENYEWE MKUU.
Na wewe ukifunga mahesabu jioni unampelekea mwanamke pesa zako.
Hayo ndio maisha mkuu,acha pesa izunguke
ha ha ha mkuu hizi kazi zinachosha kumpelekea mwanamke tena mtaji ni ngumu sna labda usijitambue
 
Aisseee...kumbe ndo ilivyo hivi[emoji849][emoji849]
 
Back
Top Bottom