Hela zetu zinauma, acheni utani kabisa

Joined
Mar 6, 2015
Posts
70
Reaction score
221
Habari zenu wakuu, jamani new brides and grooms naomba liwafikie hili, mwaka Jana classmate wangu alikua anaoa.. nikapewa KADI ya kamati na umaskini wangu nilijipiga laki nzima.

Shuwaini wendawazimu hawa jana nimeenda mahakamani kufata kiapo nilikua nabadilisha jina la laini nikawakuta wanadaiana talaka.

Hivi mnazichukuliaje hela zetu?[emoji3525][emoji3525][emoji3525]
 
Wewe ndo huna akili Ku invest emotions zako kwenye ndoa za watu..

Kadi ilikuwa ya sherehe ..ulienda ..ukala. .ukacheza mziki baasi..

Usiwapangie waachane lini..


Watu waishi kwenye ndoa ya mateso kisa wewe ulichanga laki??..

Kama alietoa mahari kasema sitaki ..wewe laki yako ndo iwalazimishe waishi huku washachokana?

Hata ajira kampuni inaingia gharama za matangazo inakuajiri unalipwa hela .
Orientation ..na registration Hadi Nssf
Lakini ukizingua unafukuzwa hata kama miezi miwili tu..
 
Michango inabidi iwe buku buku kwakweli, unajipinda kumbe mijitu hata haijui maana ya ndoa inajifungia tu ilimradi. Kuna kenge naivutia muda atarudisha tu hela zangu.
 
Kikao cha Uwabata (umoja wa wanaume bahili) kilchokaa hv karbun na mtoa mada kama katibu tulkubaliana wanandoa tulio wachangia wakiachana watuite kama walvyotuita kwenye kamati
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwakweli, wasichezee pesa zetu kirahisi rahisi tu.
 
Michango inabidi iwe buku buku kwakweli, unajipinda kumbe mijitu hata haijui maana ya ndoa inajifungia tu ilimradi. Kuna kenge naivutia muda atarudisha tu hela zangu.
Ulivotoa io hela ulishikiwa bunduki, au uliitoa io hela ili upate sifa Espy
 
Mkuu pale ulilipia chakula,mziki na vinywaji tu

Wasingeandaa chakula,mziki na ukumbi mzuri hapo walitakiwa kuhojiwa.
 
Wanajua mtachanga tu. Ndoa zinakua ndoano hasa wakikutana wajuaji.kila mtu anajikweza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
si ulikula pilau mkuu? ndio chako kiliishia pale


ahhaha hahhahaha nimecheka mimi kama mjinga..
 
well said mkuu,,,mimi kanichekesha tu na alikula, kucheza na kufurahia
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wallah ningekua Mimi ningemchukua huyo mwanamke nika-compasate mchango wangu
 
Michango inabidi iwe buku buku kwakweli, unajipinda kumbe mijitu hata haijui maana ya ndoa inajifungia tu ilimradi. Kuna kenge naivutia muda atarudisha tu hela zangu.
Nakazia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…