Madam secretary
Member
- Mar 6, 2015
- 70
- 221
Habari zenu wakuu, jamani new brides and grooms naomba liwafikie hili, mwaka Jana classmate wangu alikua anaoa.. nikapewa KADI ya kamati na umaskini wangu nilijipiga laki nzima.
Shuwaini wendawazimu hawa jana nimeenda mahakamani kufata kiapo nilikua nabadilisha jina la laini nikawakuta wanadaiana talaka.
Hivi mnazichukuliaje hela zetu?[emoji3525][emoji3525][emoji3525]