Hela zinatengenezwaje? Tupeni Shule

Hela zinatengenezwaje? Tupeni Shule

thamani ya hela inakuwa determined navitu viwili, 1 dd n ss force (demand and suppy force for money) na 2 decision by the authority.

Kwa.mfano rwanda wanatumia decision.force kwa kupanga thamani ya hela yao, wakisema sh 1 ya rwanda ni sawa na 20 ya tanzania itakua hivyo as exchange rate, hawaangalii uwiano wa hizi hela katika mzunguko wa uchumi wao as kuna Tsh kiasi gan au inahitajika Tsh ngap compared n rwanda kwacha.

Dd n Ss
Hizi mara nyngi zinakuwa affected na import na export. Kama una import sana vitu means utategemea sana fedha za nje katika kufanya transaction zako, meaning demand ya dola (kwa mfano) itaongezeka ili ufanye transaction na thamani ya dola inapanda.
Export pia kama unauza nje kwa sana inamaana Tsh itahitajika sana nje ili waweze fanya transaction na Tanzania na hivyo Tsh itapanda thamani.
Baada ya vita tanzania haikua inazalisha na ilikua na msuko suko so walipunguza thamani ya hela ili waweze kuexport vitu kwa urahisi nje watengeneze hela, hiki kitu kilitaka fanyika maka ya nyuma ili kuongeza ushindan wa coffe n tobaco n tea katika soko la dunia.

Impact yake ni kwamba bei ya bidhaa inayouzwa kwa dola ikipanda lazma na tanzania ipande, ila si lazma ipande rwanda kwa kua rate yao unakuta ni tofauti japo itapanda kidogo sana au katika rate ndogo.
Hapa tz maduka meng posta yanauza bidhaa kwa dola na makampun mengi yanalipa Tenders kwa dola (mf airtel),meaning zinafanya hitaji la dola kupanda, hence thamani ya dola kupanda anayoletea thamani ya shilling kuahuka as hakuna anayeihitaji.
 
Mac kwanza kila Bank lazima iwe na mtaji, ambao ulikua Bilion 5 hao zaman n kuanzia mwaka huu utakua Bilion 15, yaan kila Bank lazima iwe na zaidi ya Bilion 15 BOT ili iweze kuoperate. Pili kuna maximum amount of cash ambayo kila Branch inatakiwa imaintain per day n sio zaid ya hapo, mfano kama max amoun ni 20 milion, Branch haitakiwi funga na zaid ya 20m, zikifika 22m ni lazima Branch ihamishe 2m kupeleka BOT b4 hawajafunga siku. Wakifunga nayo kuna cost wataziingia. Hii ndo base ya hela kwenye Bank. Tuendelee
 
Naona baadhi yetu humu hatujasoma vizuri maswali yaliyoletwa na mwanzilishi wa mada hii
 
Back
Top Bottom