Clemoo
Member
- Nov 27, 2011
- 71
- 15
ni week ya 3 sasa tangu majina ya waliokosea kujaza forms yametoka kua tutapata mkopo lakini sioni kama kuna ufatiliaji wowote ule, kila ukimuuliza loan officer wa hapa chuoni anadai pesa zetu bado hazijaja hivyo tuendelee kusubiri, hivi walivyotuambia tuje turipoti chuoni walitegemea tuje tuishi vipi huku? kama kuna member yeyote wa loan board humu ndani tafadhali fikisha salamu hizi tunateseka huku ni mwendo wa shuttle pori na ku skip meals tafadhali tupeni hizo hela, kama vile mnatupa bure bwana wakati tutakuja kuzilipa?