Helbs

Helbs

Clemoo

Member
Joined
Nov 27, 2011
Posts
71
Reaction score
15
ni week ya 3 sasa tangu majina ya waliokosea kujaza forms yametoka kua tutapata mkopo lakini sioni kama kuna ufatiliaji wowote ule, kila ukimuuliza loan officer wa hapa chuoni anadai pesa zetu bado hazijaja hivyo tuendelee kusubiri, hivi walivyotuambia tuje turipoti chuoni walitegemea tuje tuishi vipi huku? kama kuna member yeyote wa loan board humu ndani tafadhali fikisha salamu hizi tunateseka huku ni mwendo wa shuttle pori na ku skip meals tafadhali tupeni hizo hela, kama vile mnatupa bure bwana wakati tutakuja kuzilipa?
 
ata dIT bado so kua mvumilivu tu.
 
poleni sana.MVUMILIVU HULA MBIVU. msijali kama BOOM lipo litakuwepo tu.
 
Na wengne 2nao appeal 2naambiawa error occured kila nikijaribu kujaza inakataa sa cjui inakuaje apo jaman!kwa anaejua njia nyngne msaada pliz?
 
Back
Top Bottom