Helicopter enzi za Wamisri wa Kale????

Helicopter enzi za Wamisri wa Kale????

Wickama

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2009
Posts
1,466
Reaction score
1,196
Wana JF,
Kipindi fulani hapo awali (2010-2014) kulitokea mkanganyiko mkubwa pale watafiti fulani wa nchi za magharibi walipoiarifu dunia kuwa kuna michoro ya Helicopter na vifaa vingine ambavyo dunia ya sasa hatuna kwenye ma-pyramid ya Misri (soma Why Does Ancient Art Contain Depictions Of Flying Aircraft, Helicopters And Dinosaurs?). Baada ya hapo kumekuwapo kila jitihada za kukataa jambo hili kwa kulielezea kama picha zilizotokea kutokana na kusagika kwa herufi na sio picha za vifaa hivyo (soma; Debunking The Abydos Helicopter Hieroglyphics). Wale wanaokataa kuwa sio helicopter wanatumia kutoonekana maandishi ya namna hii kwenye kurasa zingine za wamisri kama ushahidi kuwa jambo hili halikuwa tokea. Hebu angalia hizi picha kisha chagua la kuamini. Jamani sio Helicopter hii??? Kama ni ndio, hii inatueleza kitu gani katika mzunguko mzima wa ubinadamu wetu???

Heli-Hyrp-641465.jpg

Fananisha na hii hapa chini

aaaa.jpg

Watch this!!!

Duuuh ila kama ni helcopter kweli nadhani lazima kungekua na muendelezo wa teknolojia hiyo
 
Wana JF,
Kipindi fulani hapo awali (2010-2014) kulitokea mkanganyiko mkubwa pale watafiti fulani wa nchi za magharibi walipoiarifu dunia kuwa kuna michoro ya Helicopter na vifaa vingine ambavyo dunia ya sasa hatuna kwenye ma-pyramid ya Misri (soma Why Does Ancient Art Contain Depictions Of Flying Aircraft, Helicopters And Dinosaurs?). Baada ya hapo kumekuwapo kila jitihada za kukataa jambo hili kwa kulielezea kama picha zilizotokea kutokana na kusagika kwa herufi na sio picha za vifaa hivyo (soma; Debunking The Abydos Helicopter Hieroglyphics). Wale wanaokataa kuwa sio helicopter wanatumia kutoonekana maandishi ya namna hii kwenye kurasa zingine za wamisri kama ushahidi kuwa jambo hili halikuwa tokea. Hebu angalia hizi picha kisha chagua la kuamini. Jamani sio Helicopter hii??? Kama ni ndio, hii inatueleza kitu gani katika mzunguko mzima wa ubinadamu wetu???

Heli-Hyrp-641465.jpg

Fananisha na hii hapa chini

aaaa.jpg
kipindi hicho hata steam engine ilikuwa haijagunduliwa, wala umeme wala chochote, hata ndege zilikuwa hazijagunduliwa, hapo wenzio pengine walichora kitu chochote tu toka kwenye fikra zao bila kujua wanachora nini ila they never existed that before.
 
labda ndio walikuwa kwenye mipango ya kuiunda kabla hawajaja waliokuja kuharibu ustaarabu uliokuwepo
 
kipindi hicho hata steam engine ilikuwa haijagunduliwa, wala umeme wala chochote, hata ndege zilikuwa hazijagunduliwa, hapo wenzio pengine walichora kitu chochote tu toka kwenye fikra zao bila kujua wanachora nini ila they never existed that before.
Nakubaliana inawezekana walichora bila kujua wanacho chora ila wasije wakatuambia hizo waliunda hizo ndege na zikaruka angani itakua vigumu kuwa elewa.
 
Kuna documentary huwa nazifwatilia zaeleza kuwa hayo ma pyramid ni sehem kuu aliens walikuwa wakifika kufanya shughuli zao na hadi wakawa wana interbreed na hao wazawa wa hapo
 
Nakubaliana inawezekana walichora bila kujua wanacho chora ila wasije wakatuambia hizo waliunda hizo ndege na zikaruka angani itakua vigumu kuwa elewa.
Vipi kama walikua wakiviona vyombo vinakuja kutoka anga za mbali!?? Kwaajili yakuweka kumbukumbu. Nisawa na michoro ya amboni!

Kwa facts na theory juu ya conspiracy theories mi naamini vilikua vikidhuru katika anga zao
 
kipindi hicho hata steam engine ilikuwa haijagunduliwa, wala umeme wala chochote, hata ndege zilikuwa hazijagunduliwa, hapo wenzio pengine walichora kitu chochote tu toka kwenye fikra zao bila kujua wanachora nini ila they never existed that before.
Issue nzima ya hivi vifaa na umri wake vinatoa twasira tofauti sana. Kwa mfano sijui kama ulishaisikia Baghdad Battery???(Baghdad Battery in the National Museum of Iraq) nayo ni ya maelfu ya miaka. Ipo argument kuwa technolojia nyingi hazikuanza na SISI
 
Vipi kama walikua wakiviona vyombo vinakuja kutoka anga za mbali!?? Kwaajili yakuweka kumbukumbu. Nisawa na michoro ya amboni!

Kwa facts na theory juu ya conspiracy theories mi naamini vilikua vikidhuru katika anga zao
Inawezekana waliwahi kuona hivyo na wakaweka michoro lakini sio kuunda na kurusha angani.
 
Back
Top Bottom