Wickama
JF-Expert Member
- Mar 8, 2009
- 1,466
- 1,196
Wana JF,
Kipindi fulani hapo awali (2010-2014) kulitokea mkanganyiko mkubwa pale watafiti fulani wa nchi za magharibi walipoiarifu dunia kuwa kuna michoro ya Helicopter na vifaa vingine ambavyo dunia ya sasa hatuna kwenye ma-pyramid ya Misri (soma Why Does Ancient Art Contain Depictions Of Flying Aircraft, Helicopters And Dinosaurs?). Baada ya hapo kumekuwapo kila jitihada za kukataa jambo hili kwa kulielezea kama picha zilizotokea kutokana na kusagika kwa herufi na sio picha za vifaa hivyo (soma; Debunking The Abydos Helicopter Hieroglyphics). Wale wanaokataa kuwa sio helicopter wanatumia kutoonekana maandishi ya namna hii kwenye kurasa zingine za wamisri kama ushahidi kuwa jambo hili halikuwa tokea. Hebu angalia hizi picha kisha chagua la kuamini. Jamani sio Helicopter hii??? Kama ni ndio, hii inatueleza kitu gani katika mzunguko mzima wa ubinadamu wetu???
Fananisha na hii hapa chini
Watch this!!!