Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 875
- 633
Hakuna anyekudanganya unaposema Israel imeonyesha Failure katika kupigana na Hamas sijui unamaanisha nini na kivipi maana ume Generalize tu bila kutoa details zozote ku support tuhuma zako zisizo na kichwa na miguu!! Unaongelea kuhusu Mateka bila ushahidi wowote na maelezo ya Zaida. Toka Oct 07,2023 Magaidi wa Hamas waliteka watu 251 baada ya mapigano kufikia leo mateka walio kwenye mikono ya Magaidi wa Hamas wako 101 wengine Waliokolewa na wengine waliachiliwa kwa kubadirishana na wafungwa wa ki Palestina hayo wewe huwezi kuona kama ni mafanikio makubwa unachukulia tu juu kwa juu kuwa mateka hawajawapata wakati karibu musu ya mateka wote wamekombolewa. Kuhusu Mahandaki nakushangaa sana mengi ya mahandaki hayo yalishagundulika na kuharibiwa kabisa. Kuhusu Hamas kumalizwa wewe unataka wamalizwe vipi? Unadai pia kuwa Hamas wameua askari wengi wa Israel ni wangapi? Hakuna Idadi? Unasema pia kuwa hakuna walichofanikiwa!! Huko ni kutokujua tu kwako. Nakutajia tu mafanikio Israel iliyopata huko Gaza. Kwanza kuishikilia Gaza na kuifanya isiwe tishio tena kwa Israel maana hiyo Hamas hawatatawala tena Gaza. Pili kuwatia adabu viongozi wote wa Hamas wakiwemo Ismail Hanniye na Bwana wake Yahya Sinwar. Tatu kuwajua UNRWA ni tawi la Hamas sasa juhudi zinafanyika kutafuta mbadala wa shirika hilo na sasa shirika hilo tunakoenda halitaruhusiwa kufanya kazi Gaza hata na huko West Bank. Hayo ni mafanikio machache sana niliyokuwekea lakini yako mengi sana.Hapa bado unatudanganya.
Israel imeonesha failure katika suala la kupigana na Hamas na kuokoa mateka.
Hivi vita peke yake vimesababisha walemavu wapatao elfu 70 katika jeshi la Israel.
Na ripoti nakuletea.
Safari hii Hamas walionesha umahiri kiasi Netanyahu aliishutumu Iran moja kwa moja kuwa imepenyeza wanajeshi wake Gaza.
*Mateka hawajapata.
*Miundombinu ya mahandaki iko vile vile.
*Hamas hawajawamaliza.
Hakuna walichofanikiwa na wameua askari wao wengi sana na kupata walemavu wa kutosha tu.