Helikopta ya 10 ya kijeshi ilitua katika Hospitali ya Sheba-Tel Hashomer, ikiwa imebeba wanajeshi na maafisa waliofariki na kujeruhiwa katika mapigano

Hakuna anyekudanganya unaposema Israel imeonyesha Failure katika kupigana na Hamas sijui unamaanisha nini na kivipi maana ume Generalize tu bila kutoa details zozote ku support tuhuma zako zisizo na kichwa na miguu!! Unaongelea kuhusu Mateka bila ushahidi wowote na maelezo ya Zaida. Toka Oct 07,2023 Magaidi wa Hamas waliteka watu 251 baada ya mapigano kufikia leo mateka walio kwenye mikono ya Magaidi wa Hamas wako 101 wengine Waliokolewa na wengine waliachiliwa kwa kubadirishana na wafungwa wa ki Palestina hayo wewe huwezi kuona kama ni mafanikio makubwa unachukulia tu juu kwa juu kuwa mateka hawajawapata wakati karibu musu ya mateka wote wamekombolewa. Kuhusu Mahandaki nakushangaa sana mengi ya mahandaki hayo yalishagundulika na kuharibiwa kabisa. Kuhusu Hamas kumalizwa wewe unataka wamalizwe vipi? Unadai pia kuwa Hamas wameua askari wengi wa Israel ni wangapi? Hakuna Idadi? Unasema pia kuwa hakuna walichofanikiwa!! Huko ni kutokujua tu kwako. Nakutajia tu mafanikio Israel iliyopata huko Gaza. Kwanza kuishikilia Gaza na kuifanya isiwe tishio tena kwa Israel maana hiyo Hamas hawatatawala tena Gaza. Pili kuwatia adabu viongozi wote wa Hamas wakiwemo Ismail Hanniye na Bwana wake Yahya Sinwar. Tatu kuwajua UNRWA ni tawi la Hamas sasa juhudi zinafanyika kutafuta mbadala wa shirika hilo na sasa shirika hilo tunakoenda halitaruhusiwa kufanya kazi Gaza hata na huko West Bank. Hayo ni mafanikio machache sana niliyokuwekea lakini yako mengi sana.
 
Well-Said hawa kapuku bado sana ujinga wao tu ndiyo ulisababisha uanzishe vita na mtu anayekuzidi nguvu huo ni umburula!!!
 
Sasa nimegundua wewe hujui na huelewi mambo mengi hasa ya kijeshi Huna hata hiyo idea. Kwa akili yako ndogo hiyo unaamini Hamas watakuja kuishinda kijeshi Israel? Unaamini Allah atakują kuwapa ushindi kwa Danika hizi za Majeruhi? Bado uko nyumba sana kijana. Harafu unadai kuwa wameongeza mateka wengine!!! Wapi na lini hii haiwezi kutokea askari wa Israel kuteka na Magaidi wa Hamas au Hezbollah hii haiwezekani kwa sababu Toka waanze vita hii wanatumia mfumo wa kujihami “Defensive” mfumo huu huwezi kuteka askari yoyote unaweza kuua lakini kuteka haiwezekani kwa kuwa wewe hata mgambo hujapitia ni ngumu kunielewa lakini iko hivyo na ndiyo maana Toka vita hii ianze hujasikia askari wa Israel katekwa na haiwezi kutokea labda wakatambikie. Nimesema na hapo mwanza kukaa na mateka kipindi kirefu hakukupi wewe kuwa una intelijensia nzuri kwanza Israel haiwezi kutumia nguvu kupata kiasi kwa hofu ya kuhatarisha maisha ya mateka hivyo wanawaacha wazurule nao wanajua wapi watagota. Kuhusu kuua kamanda wa kikosi cha sijui 401 hiyo si sababu ya Hamas kuwa na intelijensia nzuri, pia unazungumzia Hamas wajipange lini walishindwa kujipanga kipindi bado hawajavamia ndiyo wajipange sasa huo sasa ni utoto kabisa. Kwa taarifa yako Hamas baada ya vita hii ndiyo nitolee kabisa hataweza kuongoza tena Gaza maana Kanyea Kambi.
 
Katekwa huyo,
 

Attachments

  • VID_20241007_075805_029.mp4
    4 MB
Katekwa huyo,
Unapojibishana na mimi lazima kuwa mwangalifu mimi siyo zuzu kama wengine unaweza kuwadanganya kwa video za Oct 07,2023 huyo askari walimuua kikatili sana na ndiyo maana mimi hawa nasema Gaza hakuna raia wasio na hatia huko. Kwa hiyo haiwezi kuhalalisha madai yako. Kwa Sasa hivi huwezi kusikia au kuona askari wa Israel katekwa. Habari hizo unazopewa ni Matango Pori tu.
 
Bado unaendelea kuongopa,na kuongopa hakukusaidii kitu aisee.
Mateka waliookolewa asilimia kubwa ni wa mabadiliashano.
Mateka wengine walikufa,waliokolewa wakiwa maiti,wengine Israel iliwaua wenyewe.
Mateka waliookolewa hai na IDF hawafiki hata 10 ni 8 tu.
Huo umahiri unaouelezea wa IDF umetokea wapi!??
Kama kusingekua na mabadilishano hadi sasa inamaanisha mateka ambao IDF angekua kawaokoa kikamilifu ni NANE TU kati ya 250+.
UNRWA sio tawi la hamas bali kuna wafanyakazi ambao walibainika ni hamas ambao walikua wanatumikia UNRWA.
Israel ipo Gaza ila haijaidhibiti Gaza,na sahau Israel kuitawala Gaza, kwasababu hadi sasa Gaza ndio wanajulikana wakusanya kodi na hadi sasa Hamas wanarusha makombora na kupiga vifaru ndani ya Gaza hiyo hiyo.Labda hujui maana ya neno kudhibiti.
Tunnels nyingi sana bado ziko nzima na zina silaha na hadi sasa Hamas wanarusha maroketi kutokea kwenye hayo mahandaki.
Kama unataka uthibitisho sema nikuletee ripoti hapa ya Hamas kushambulia tokea katika hayo mahandaki ndani ya mwezi huu.
 
Hapo unazungumzia kikundi cha wanamgambo sio jeshi la nchi.
Kitendo cha wao kupambana mwaka mzima na jeshi la nchi kama Israel lenye kila aina ya silaha hadi msaada kutoka Marekani ni lazima uwasifu kweli wanajiweza.
Ni mwaka sasa umefika bado wanarusha maroketi Israel na washawapa ulemavu wa kudumu wanajeshi elfu sabini wa Israel.
Jiulize kama wangekua jeshi kamili wana silaha sawa na Israel ingekuaje!?
Hapo anayeonekana dhaifu ni Israel.
Licha ya silaha zote hadi za usaidizi ila ameshindwa kuwa contain hao wanamgambo.
Kuua viongozi wao bado hakujawasimamisha wao kuacha kushambulia.
Bado tunarudi kule kule tu.
 
Nakushangaa unapokataa kuwa Hamas si wabakaji wakati walibaka,walitesa,waliteka na kuua watu Nina wasiwasi na wewe ni mbakaji ndiyo maana unawatetea sana wabakaji wenzako. Haya ushahidi huo hapo na kwa kuwa huna akili sawasawa utaukataa!!!!
Unaleta video ya mtu mmoja!?
No records showing that!?
Viunga vyote Hamas walivyovamia vina CCTV footages ila hakuna hata moja ilionesha Hamas akibaka au kuua mtoto.
Waliambiwa ICJ walete ushahidi wakaleta a blunt witness anayeongea maneno tupu asiyeweza kuthibitisha.
Pole yako.
 
Narudia hivi ACHA UFALA.
HAO WALIOANDIKA HAPO NI MAPADRE WA VATICAN NA HAO WALISHASEMA HAKUKUWA NA MWANAUME WALIOJIFICHA HUMO NI WANAWAKE TUPU.
WE JAMAA NI MSENGE NINI!?
UNATUMIA AKILI WEWE!?
YANI UNABISHANA HADI NA VATICAN AMBAO KANISA LAO LIMESHAMBULIWA!??
WE MWENDAWAZIMU NINI!??
YANI UNABISHANA NA VATICAN WENYE KANISA LAO AMBALO LIMESHAMBULIWA NA WENYEWE WAMETOA USHUHUDA KUWA WALIHIFADHI WANAWAKE TUPU!?
HALAFU ULIVYO MPUMBAVU FALA WA KUTUPWA NIMEKULETEA HABARI NEWS ARTICLE WEWE UNAONGEA MANENO MATUPU.
Mtu anaripotiwa kuua hadi raia wake mwenyewe kwa kutokufuata rules of engagement wewe unakuja kuropoka hapa!?
KWahiyo wewe unalijua hilo tukio kuliko hao mapadre wa Vatican walioshuhudia na kutoa ushuhuda!?
WEwe jamaa acha ufala narudia tena acha ufala.
Punguza ufala walau kidogo ujielewe acha ufala.
EMBU NIONDOLEE USENGE WAKO HAPA
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…