Helikopta ya kwanza ya Zimamoto kununuliwa

Nakubaliana na wewe kabisa, Kama tutawezesha vijana kwa Mitaji Kama ulivyotoa mfano wa hao ombaomba itakua poa, maana vijana wengine wanatoka kwenye mazingira magumu mnoo Hivyo inakua changamoto, tufanye empowerment kwa vijana both ya knowledge and capital, ukienda nchi za wenzetu wanafunzi wa vyuo vikuu wanasoma main course na course zingine za ziada mfano mtu anachukua Bachelor of Business Administration lakini pia anasoma course ya upambaji, upishi, ushinaji na n.k.

Maanake kijana Huyu Akihitimu Anakuwa na wigo mpana wa kuajiriwa na kujiajiri kwa sababu Anakuwa na option. Lakini pia Vijana wanafanya baadhi ya Gunduzi za teknolojia wanaishia wapi, hawapati support kutoka mamlaka husika, ni rahisi sana kuifanyia nchi chochote Kama mazingira Yana support, hata private sector ili zifanye vizuri lazima kuwa na mazingira rafiki
 
Ni kweli kwenye mamlaka kuna vitu vya kusimamiwa vizuri hususani kwenye ugunduzi kama hati miliki ili isije mtu au watu wakaiba ugunduzi na kuduplicate nabkujiingizia faida wakati ni kazi ya mtu mwingine lakini pia kuwe na namna wenye fedha wanaweza kuwekeza kwenye hizi gunduzi za vijana wa kitanzania ili wote wanufaike na product zilizogunduliwa hususani vyuoni wangeweza kama hubs za kuattract watu kuinvest kwenye gunduzi za wasomi vijana kama zipo na pia iwe vyuo wanaweza kuuza hizo gunduzi zao wawe na vikampuni vyao vya design mbalimbali mfano wenzetu unakuta nasa anatoa tender jonhhopkins univercity kutengenezea chombo cha kwenda masafa ya mbali angani kupitia idara ya aerspace engineering ya chuo ,je sisi hizi idara kama hizo zishawahi kupewa tender za ujenzi hata wa soko la mtaa au vikampuni vya kutenda kazi na kufundishia vijana humo humo au ni wakati sasa baadhi ya taasisi za umma ziwe strong affiliation na hivi vyuo.
 
WaTz milioni 60, tunaokatwa tozo Takriban bilioni 200 kwa mwezi, hadi leo tunaongelea kununua helicopter ya kwanza ya zimamoto isiyozidi bilioni 1 au 1.5, hivi sisi wakati tunarogwa tulikuwa uchi au?
Kuna moto umeunguza mapori huko marekani, mpaka binadamu takribani mia na, wameungua na kufa, marekani ni nchi tunayodhani wamejitosheleza kila kitu, ila kwenye janga hili la moto wa pori, wameonyesha udhaifu sana.
 
Kwani ile iliyokuwa inazima moto kwenye msitu wa sao hill syo ya kwetu kumbe?🤔🤔🤔
 
Hii Awamu miradi imekuwa ni MIRADI ya watu.., Kila leo kuwekeza huku au kule yaani mipango lukuki ya Mabilioni

Hivi hata hydrants zilizokuwepo zinafanya kazi na nyingine kuongezewa ?

 
Hii helicopter imefika manyara saa ngap?
 
Yaani bila hata aibu wanajitangaza kwa madaha kabisa kwamba watanunua helikopta nilifikiri wananunua 20 kwa mpigo. Ka helikopta kamoja si wangenunua tu kimya kimya

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Maboresho hayo yanajumuisha ununuzi wa magari ya kuzimia moto yasiyopungua 150, magari 20 ya kubebea Wagonjwa, boti za kisasa 25 za uokozi na Helikopta moja maalum ya uokozi.
Kwa jinsi tulivyo hao waendeshaji ndiyo watakimbiliwa kuzimwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…