Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
deo amefariki dunia ..mda mfupi uliopita imethibitishwaaaa..habari kamili itafuata...hakuna aliyepona ....RIP DEO
Hivi huyu Deo anavyokubalika alikuwa na ulazima wa kukodi haya machopa? mambo mengine yanakera sana kuna ambapo Mungu anatufunza kwa mifano.
deo amefariki dunia ..mda mfupi uliopita imethibitishwaaaa..habari kamili itafuata...hakuna aliyepona ....RIP DEO
Zitto Kabwe ambaye ni mmoja wa marafiki wakuu wa Filikunjombe, kwenye moja ya mitandao yake amesema Deo hatunaye. Inasikitisha sana sana.
Hii serikali hopeless kabisa..., mpaka sasa hivi no updates.. Halafu tuwape nchi tena nyie... Kalagabhao..!!
jerry silaa kathibitisha on instagram kuwa baba yake na filikunjome wamefarikiBado namatumaini wapo hai...ila kuchelewa kuja kwa update wahusika ni wazembe
Bado namatumaini wapo hai...ila kuchelewa kuja kwa update wahusika ni wazembe