unawaonea huruma?, sasa hivi wanaangaliana ninani kati yao atapewa na chama nafasi ya kurithi kiti cha ubunge cha baba yao, kama kawaida ya ccm.Aisee watoto wa deo Filikunjombe
Walitakiwa wawepo wale bingwa wa matusi..
Mkuu Inaweza Ikawa Lakini Mimi Sishangai Mkapa,nape,msukuma,bulembo Wanavoongea Wanavotaka Wamejipanga Kwa Huu Mchezo,na Ndo Mana Nahisi Wakina Mnyika Wamejiweka Pembeni,hii Mechi Bado Mbichi Hii #kikwete Vs #lowassa.......!!