TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

Hii sasa inatisha, pumzika kwa amani mheshimiwa umetimiza ipasavyo wajibu wako hapa duniani.
 
Ukawa Sasa Njia Yetu Ni Nyeupee! Mwendo Wa Kupita Bila Kupingwa!!! Bwana Ametoa, Bwana Ametwaa. Na Pia Tunataraji Kuitwaa Ikulu Oct 25 Na Mh Ngoyai.
Nilitak nipuuzie post yako ila nikaona nikupe onyo kidogo ... hii sio njia nzuri ya kwenda ikulu ... ukawa tutashinda kwa kushindana. wewe utakuwa ni ccm umejivika gwanda kinafiki.
 
Hivi mpaka sasa ni chama gani kinaongoza kwa kampeni za matusi?

Mwenye jibu naomba amuunganishe na Ibrahim Mgaya.

Hivi ni chama ngani kinatumia afya ya mtu kupigia kampeni?
 
Watanzania hawana unafiki. Nalinganisha comments zinazotolewa kwa msiba wa Deo,na ile ilotolewa kwenye msiba wa kapten Komba. Viongozi watendeeni wema wananchi. Ni msiba mzito hasa kwa wana Ludewa na familia,lakini kwa complement hizi,jamii inafarijika. Msiba wa Komba hadi spika alilalamika kwa uchangiaji kwenye mitandao.
R.I.P marehemu wote.
 
Watu kama huyu anaejiita kwamtoro sheria ya mitandao inawahusu kabisa. Ni wakukomeshwa kabisa hawa.

Poleni sana yaani ni siri ya Mungu tu lakini Deo alikuwa na roho ya lipekee kwa kweli kweli chema hakidumu.
 
Last edited by a moderator:
January kwa kweli nina hofu na uwezo wake wa akili,ni bora angekaa kimya kuliko kutweet habari za uongo,yaani ujinga sana tena sana
 
Jamani,

this is too much, huu uchaguzi una nini jamani mbona hivi?

Mshindwe na mlegee na kwa jina la Yesu tutavuka salama 25 October 2015
 
Taarifa zinasema Chopa iliungua Je Miili Ipo au ni Majivu?
 
Rest in peace wahanga wa ajali.
Mungu awape nguvu familia zao.
 
RIP Deo.... taifa limempoteza mtu wa muhimu sana... Mungu awe pamoja nasi kila saa na kila wakati. Hizi ajali jamani dah!
 
Poleni familia yake na watanzania wote.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa. Jina lake Lihimidiwe. Amina
 
Niliwah Kusema Hapa Tunahtj Kumtafuta Mungu Sana Kwan Vita Inayoendelea Ni Vita Ya Miungu, Yaan Mizimu Inataka Iendelee Kuwa Na Sauti Ktk Taifa,na Mungu Wa Mbingu Na Nchi Ndio Anataka Kutawala Awe Na Sauti Ya Mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…