January si ndio think tanker wenu? au hujui ndio msemaji wa ccm? tulioikataa ccm haya tunayajuwa siku nyingi jishangae wewe usimshangae Makamba.January kwa kweli nina hofu na uwezo wake wa akili,ni bora angekaa kimya kuliko kutweet habari za uongo,yaani ujinga sana tena sana
January kwa kweli nina hofu na uwezo wake wa akili,ni bora angekaa kimya kuliko kutweet habari za uongo,yaani ujinga sana tena sana
Members hebu muda mwingine tunapotafakali matendo ya Mungu basi tuweke Siasa Pembeni, Mimi ni mwanachama Hai wa ACT, lakini Kura yangu nilisha sema kwa LOWASA, kwasababu naijua vizuri Demokrasia.
Sasa Chama kingine kinapo pata Tatizo tunapaswa sote Kama Watanzania tushikamane kufarijiana, Hizi Kampeni zina mwisho wake lakini Utanzania wetu hauna mwisho,
Inasikitika sana watu wanapo furahia Kufa kwa kiongozi fulani eti kwasababu ametokea CCM, Please HUU SIO UTANZANIA WETU TUNAKIUKA MISINGI TULIYO ACHIWA NA MWALIMU NYERERE, WATANZANIA WOTE NI NDUGU
Mimi sina chama,ila kura yangu nampa Magufuli bila kujari chama chakeJanuary si ndio think tanker wenu? au hujui ndio msemaji wa ccm? tulioikataa ccm haya tunayajuwa siku nyingi jishangae wewe usimshangae Makamba.
HABARI ZILIZOTUFIKIA SASA NI KUA ALIYEKUA MBUNGE WA LUDEWA ...
itabidi tumshitaki,maana alisambaza taarifa za uongoVipi sheria ya mtandao haimuhusu kwa kupotosha uma? Au ndio....