TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

Wacha kumpangia Mungu majukumu wewe Gamba kuu, ulitaka Mungu akuchukue wewe? Yeye Mungu katika hesabu zake kaona ni zamu ya Marehemu Deo, wewe unakosoa, we wa wapi wewe??
 
jamaan siasa pembeni taifa limepoteza mpiganaji, freedom fighter,kipenzi cha wana njombe na taifa kwa msimamo wake
 
Mwenye ez Mungu hufanya alitakalo, na wala hapaswi kulaumiwa, yeye huyajua ya Mbele yetu,..
 
Mungu hakosei hata siku moja ...futa kauli yako.au ufe wewe huyo filikonyombe abaki sasa....
 
Unam beep Mungu atakupigia soon. Anasema njia zake si kama zetu
 

Mkuu, ni wakati wa huzuni kwa kumpoteza mtu wa watu, mzalendo. Pole kwa ndugu, jamaa marafiki na Taifa kwa ujumla. Kwa hakika tumempoteza mdau muhimu kwa kulipigania Taifa letu. Hata hivyo kazi ya Mungu haina makosa mkuu. Tumuombee tu kwa Mungu, yeye ndiye alimuumba, kaamua kumchukua mja wake,tunapaswa kuhuzunika lakini hatupaswi kumlaumu Muumba. Kila mja ana umri wake ambao wakati anazaliwa alipaswa kuishi. Umri huo ambao Mungu muumba pekee ndiye ajuae, hutokea katika hali ambayo haina formula
 

Mungu si dhalimu.
 
Usiseme Mungu kakosea hata siku moja. Kazi ya Mungu haina Makosa. Tunamtakia Deo Mapunziko mema huko aliko makaidi
 
Maandika matakatifu yanasema .....siku zetu siyo nyingi. maandiko hayakusema ni miaka au wiki au dk ngapi, bali yamesema si nyingi. yanasema pia ...mwanadamu hakika utakufa

R.I.P
 
Siamini kama jamaa kaondoka. Poleni sana wafiwa. Hasa majirani zangu kijichi
 

Dah! Jamaa alikuwa mpiganaji,tumepoteza Rais wa baadaye!
 
Pumzika kwa amani uliyekuwa Waziri Mkuu wangu mtarajiwa Hon Deo

heeee....labda ndio kisa na mkasa,kweli uwaziri mkuu hata Edo lowasa aliwahi kulalamika...tatizo ni uwaziri mkuu mpaka watu wakamkalia kooni akajiuzuru
 

na wewe kumlaumu Mungu kwanza umekufuru. we ni nani hadi ushindane na muumba wa mbingu na nchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…