Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha kumpangia Mungu majukumu wewe Gamba kuu, ulitaka Mungu akuchukue wewe? Yeye Mungu katika hesabu zake kaona ni zamu ya Marehemu Deo, wewe unakosoa, we wa wapi wewe??Ni kiongozi tulimuitaji katika kipindi hiki si kwa upande wa jimbo lake bali taifa kwa ujumla, alikuwa kiongozi hasiyejiona, aliyeishi maisha ya kitanzania, mchapa kazi, mwadirifu,mtu aliyeamini maendeleo ya jimbo lake ni watu kufanya kazi,aliwapenda watu wote bila kujali,vyama vyao vya siasa,alikuwa tayari kufanya kazi usiku mchana jua na mvua kuwaletea maendeleo wananchi wa tanzania,alichukia wizi na ufisadi na hakupenda makudi,
mungu haujatutendea haki kabisa katika kipindi ambacho taifa letu linaitaji viongozi wa namna hii kwa faida ya watanzania wote,
mungu akupumzishe mahali pema peponi
amina,
Ni kiongozi tulimuitaji katika kipindi hiki si kwa upande wa jimbo lake bali taifa kwa ujumla, alikuwa kiongozi hasiyejiona, aliyeishi maisha ya kitanzania, mchapa kazi, mwadirifu,mtu aliyeamini maendeleo ya jimbo lake ni watu kufanya kazi,aliwapenda watu wote bila kujali,vyama vyao vya siasa,alikuwa tayari kufanya kazi usiku mchana jua na mvua kuwaletea maendeleo wananchi wa tanzania,alichukia wizi na ufisadi na hakupenda makudi,

Huyu jerry nae ovyo sana.. Sasa anamshukuru Magufuli kwa lipi??
(UPDATED 13:30 - October 16, 2015)
Kwa mujibu wa Jerry Silaa (aliyekuwa Meya wa Ilala):
Heshima kwenu Wakuu,
Kuna habari zinasambaa kwamba kuna Chopa ilikua imebeba Makada wa CCM imepotea ikiwa inaelekea Njombe.
Taarifa zinasema, wakati inaondoka ilishindwa kupaa lakini mwisho wa siku ikawa imepaa.
Hadi sasa sijajua kipi ni kipi. Hivo nimeileta hii habari kama tetesi ili mwenye taarifa za mwanzo atujuze.
Asanteni sana.
========
UPDATES:
- JamiiForums imejaribu kumtafuta Filikunjombe kupitia simu yake ya mkononi bila ufanisi
- Taarifa zinabainisha kuwa kweli kuna ajali ya helikopta imetokea lakini mpaka sasa hali za waliokuwa kwenye chombo hicho hazijajulikana
- Baadhi ya abiria wanaodaiwa kuwa ndani ya chombo hicho ambacho kinasemekana kilikuwa kikirushwa na Kapteni Silaa ambaye ni baba Mzazi wa Jerry Slaa, ni Haule (ndugu yake Filikunjombe), Deo Filikunjombe, Mtumishi mmoja wa Halmashauri mojawapo ya Mkoa wa Njombe...
- Jitihada za kufika eneo la ajali zimekuwa ngumu kwakuwa ni eneo ambalo si rahisi kufikika nyakati za usiku; juhudi zinaendelea
- Helikopta iliruka saa tisa ilitakiwa itue saa 11 Iringa. Status ni MISSING. Casualties sio CONFIRMED kwa kuwa ni porini mpaka kesho gari likifika eneo la tukio sababu kuna mto na watu wa camp na rangers hawawezi kuvuka usiku huu.
=> Katika Kituo cha Luninga cha ITV taarifa ya habari saa tano usiku wamethibitisha kutokea kwa ajali ya helkopta ambayo Deo Filikunjombe alikuwa anasafiria lakini wanadai yuko salama
================
- Ndege inayodaiwa kuanguka leo katika Hifadhi za Selou...
View attachment 299341View attachment 299342View attachment 299343View attachment 299344
Pumzika kwa amani uliyekuwa Waziri Mkuu wangu mtarajiwa Hon Deo