TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

Mungu kamchukua F.kama alivyomleta kama unamlaumu Mungu kwa kumchukua umlaumu pia na kwa kumleta.
 
Msimzingizie Mungu...sisi waafrica tupo careless sana hatuna tamaduni ya kufuata sheria za usalama ..ajali ikitokea tunamsingizia Mungu. Mfano unakuta kuna hitilafu katika gari unamsikia dereva anasema si litafika tuu twende.
 
Mimi ukawa lakini Deo Filikunjombe ndiyo nyota pekee iliyobaki kuwa inang'aa katika Giza Nene la uozo na uchafu wa chama cha magamba!
 

Unamlaumu kwanza mungu alafu unamuomba amuweke marehemu peponi. KAZI YA MUNGU HAINA MAKOSA
 
Nakuhakikishia Mungu ni mwema sana àkifanya kitu it is perfect.

Ilashida kubwa vingine sio yeye ni shetani akishirikiana na wanadamu
 
we unakufuru sana ulitaka afe nani ww au baba yako,mtu kuna ubaya gani kuchuma ua lake au kuvuna ndizi shambani kwake kama anaona inafaa hivyo,sis ni maua ,futa kauli yako
 
taahira wewe ....mungu ni mkuu afanyalo ni la haki... yeye ametoa na yeye ametwaa jina la bwana libarikiwe...
 

Alafu anawaacha akina asumpta mshana😅😅😅😅
 
Ludewa ni nyumbani na Deo alikuwa mbunge wangu nimeumia sana lakini bado naamini Mungu hajatuacha na Mungu hana upendeleo jina la Bwana libarikiwe.
 
Really,I can't believe!tumepoteza mtu,tumepoteza Sokoine mwingine,tumepoteza Nyerere mwingine,jembe alikuwa hana chama kwenye maswala ya kitaifa.Pumzika kwa amani kaka kwa matumaini makubwa kuwa ufufuo upo!
 

Ukome kabisa.
Hii ni kufuru.
Una bahati mie sio mod. Ungenitambua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…