TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

Preta umesahau tabia za baba yake? Mzee Makamba aka Pwagu? Huyu mtoto ni kachukua tabia karibu zote za yule mzee, like father like son yaani ni full kuropoka katika kutafuta sifa. Hapa anachofanya sasa hivi nikutafuta umaarufu kwa nguvu ili jina lake liwe linangaa ili baada ya uchaguzi lolote litokee!
 
Last edited by a moderator:
Mi mpaka sasa sielewi wale wengine wawili walikuwa akina nani,hawa watu wa anga wanakomalia taratibu kwa chopa za CHADEMA tu za CCM ni untouchable,walaaniwe maana wangeweza hata kuokoa maisha ya wenzetu

Kichwa maji kabisa wewe eti chadema wewe vipi?
 
Kama hauna taarifa za tukio mtu anakimbilia tweeter kukanusha nini na kujitetea chopa za Ccm ziko Salama na yeye ndie aliyezikodi
Si ilitosha tu kusema taarifa tumezipata na tunazifuatilia
 
Mi mpaka sasa sielewi wale wengine wawili walikuwa akina nani,hawa watu wa anga wanakomalia taratibu kwa chopa za CHADEMA tu za CCM ni untouchable,walaaniwe maana wangeweza hata kuokoa maisha ya wenzetu

Tena wakomalie hapo hapo........ndio usalama wetu........hao wanaonyanyua simu moja tu na chopa inanyanyuka......watajimaliza wenyewe.......
TCAA ni shirika linalofanya kazi yao kwa uadilifu sana........ndio maana hatuna ajali nyingi za ndege nchini........
 
hivi vyombo vinaawakataa ccm , vimewachoka, R.I.P Deo… imekufanya hivo kwa sababu ulikuwa na mahaba na ccm.. mbona Joshua Nasar hakumrestisha in piece…
 
mkuu lile eneo hakuna mtandao wowote unaopatkana hata call sign za radio call zinasumbua' pale msaada ilikuwa ni GPS tu. Hata hvyo kwa gari hakupitiki ni helkopita tu ndio imesaidi kufika eneo la tukio
 
Hivi huko barabarani mnakokunywa viroba na kuamua kuendesha huku abiria wakishangilia huwa mnatumwa na serikali? Hivi madereva wanapopeana ishara za kupunguza mwendo eneo lenye trafiki police hivi huwa mnatumwa na serikali? Kifo chako mara ingine ni urefu wa ujinga wetu
 
Kama hauna taarifa za tukio mtu anakimbilia tweeter kukanusha nini na kujitetea chopa za Ccm ziko Salama na yeye ndie aliyezikodi
Si ilitosha tu kusema taarifa tumezipata na tunazifuatilia

mkuu hata mm sikujua kwann watu walitoa taarifa kuwa waliokuwemo kwenye ndege n wazma kumbe wamefariki.
Nilijiuliza maswali mengi sana
 
...mammy helkopta zenu mbovu.! 10% itawapukutisha magamba mpaka mkome..
 
Hatuna ajali nyingi za ndege nchini!!! ndege zenyewe tunazo ngapi???
 
mkuu lile eneo hakuna mtandao wowote unaopatkana hata call sign za radio call zinasumbua' pale msaada ilikuwa ni GPS tu. Hata hvyo kwa gari hakupitiki ni helkopita tu ndio imesaidi kufika eneo la tukio

Hilo ni sawa.......tunachojiuliza hapa....ni kwa nini alikana kuwa hakuna chopa yao iliyoruka.......zote zipo salama..........?......
huo mkurupuko wa kutoa taarifa bila usahihi kwa waziri wa mawasiliano......ndio unaotutatanisha..........
kwanza TCRA wapo wapi......?.......
 
Duh!! Ndege imeanguka saa 11 jioni na wahanga wamefikiwa kesho yake saa 8 mchana!? Yaani hata hiyo ndege isinge lipuka Bado wangekufa tu, kama wange pona na wakawa na majeraha mabaya kwa muda woote huo bila huduma ya kwanza nadhani fisi na mbwa mwitu nakuvuja damu bado vingekuwa visababishi vya vifo vyao. Kitengo cha uokozi na dharura hapa Tanzania ni kama kimekufa tu.
 
Wamezitoa wapi hizo chopa....maana ccm kwa kuungaunga ni balaa...hata kwenye vitu sensitive
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…