TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

January Makamba ana kurupuka kila siku.
Chopa aliyopanda Lusinde iligoma kuwaka.
Wamezidi kuiba hadi wanaibiana wao wenyewe.

Yaani wamezidi usanii mpaka wanasaaniiana wao kwa wao
 
Huyu dogo huyu, ***** zake!
 

Mambo mengine ni yakufikirika sana. Umefiwa unapata nguvu ya kuandika mtandaoni, aisee!
 
Mambo mengine ni yakufikirika sana. Umefiwa unapata nguvu ya kuandika mtandaoni, aisee!

yani yeye yuko busy kumsifia marehemu baba yke utafikiria hajafiwa.....naona anatafuta huruma y wana ukonga wampe kura badala y kusikitika
 
Kifo cha mpiganaji huyu kijana ambae kimetokea kimesikitisha saaana, kijana ambae angekuwa kiungo name mtu muhimu sanaa katk taifa letu last Tanzania, wanasiasa kami hawajambo night wachache saaana, amehangaika saana name.jimbo lake ukitofautisha name wabunge woote was Tanzania, he's the best amejitahidi saana name barabara, umeme na hakika kuwa wana Ludewa wamepoteza kiungo muhimu saaana kwako jimbo lao, amepambana sanaa, na juu ya hili tunaona kwamba watu muhimu kama hawa ambao wanaonekana watakuwa wa muhimu sanaa ktk serikali wanaondoka, tukio hili tunaweza lifananisha na lile la Saitoti wa Kenya ambae angekuwa kiungo muhimu sanaa kwako.serikali yake I'll ndo hivyo shetani anawatumia watu, mungu amlaze mahali pema peponi na mungu atatenda jambo juu ya hili!!
 
duh sijui umeandika ukiwa umelala au umeandikiwa mtu mwingine!!!
jitahidi kuhariri taarifa zako kabla hujaziweka jamvini hapa.
anyway.Bwana alitoa na bwana ametwaa
 
Ni vyema report ya ajali kutoka katika kisanduku maalum cha helicopter kiwekwe hadharani ili kuondoa uvumi kwamba kina Deo walitunguliwa.

Ingawa yaweza kuwa kweli walitunguliwa.

Shukran.:smokin:
 
Rest in peace
 

Attachments

  • 1445071028068.jpg
    68.9 KB · Views: 426
Mimi ni kati ya walioguswa sana na kifo cha Deo Filikunjombe,nilikuwa nampenda approach yake katika siasa na I think alikuwa ni charismatic.
 

Ni tatizo la kuzoa viongozi chini ya viwango. kijana huyu kama anavyopenda kuitwa, hana ubora wowote. Nimeomba sana tena sana, kwamba kama Magufuli anapita, mtu kama huyu asiingie kabisa ktk baraza la mawaziri. wapo wa aina hiyo wengi sana! Wale ambao nafasi zao hata wao wanaamini hawakustahili.
 
Ni kweli ripoti iwekwe wazi ili ijulikane kama ni ubovu wa chopa au tatizo lilikuwa ni nini?
 
Umakini unahitajika nawaza siku Fastjet ikipiga chini! Nadhani tuwekeze zaidi kwenye Usalama wa anga

Kabla haijapaa angani ifanyiwa service pale njombe kuonyesha ilikuwa mbovu. Ikumbukwe pia helikopta hii ilileta vurugu takribani dk 15 kwenye mkutano wa kampeni wa chadema pale njombe. CCM jifunzeni ustaarabu.

Hii helicopters haikuwa ya ccm ..Bali ya jerry ...na baba yake kupitia Hiyo kampuni....Sasa huenda alinunua used ...Kama Ile ya Nyalandu alizonunua mbovu

Ccm unawajua kweli? Kwa ujinga huu walitakiwa wafukuzwe kazi haraka

January Makamba ana kurupuka kila siku.
Chopa aliyopanda Lusinde iligoma kuwaka.
Wamezidi kuiba hadi wanaibiana wao wenyewe.

Hebu jikumbusheni aliyoyasema Mh. Msemakweli bungeni kuhusu CCM na serikali yake. Utaona wazi kwamba maoni hayo yaliashilia mambo kama haya kutokea wakati wowote.
https://www.youtube.com/watch?v=U-DhDeXZAcE
 
Majeneza matatu ya ndugu
 

Attachments

  • 1445077359649.jpg
    54.6 KB · Views: 1,470
  • 1445077378242.jpg
    51 KB · Views: 373
Mwenye taarfa ya majina ya watu waliokufa pamoja na Deo na slaa kwenye helkopta iliyodondoka na kuungua atujuze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…