Ngonidema
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 2,720
- 2,688
Egid Nkwera na K. Haule
Thnx mkuu! Wapumzike kwa Aman!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Egid Nkwera na K. Haule
yani yeye yuko busy kumsifia marehemu baba yke utafikiria hajafiwa.....naona anatafuta huruma y wana ukonga wampe kura badala y kusikitika
CCM wanatutukana sana kwamba tunasubiri kufa,halafu Magufuli anakejeli matumizi ya chopa kwa Lowasa,nimemsikia mwenyewe Babati
Duh!! Ndege imeanguka saa 11 jioni na wahanga wamefikiwa kesho yake saa 8 mchana!? Yaani hata hiyo ndege isinge lipuka Bado wangekufa tu, kama wange pona na wakawa na majeraha mabaya kwa muda woote huo bila huduma ya kwanza nadhani fisi na mbwa mwitu nakuvuja damu bado vingekuwa visababishi vya vifo vyao. Kitengo cha uokozi na dharura hapa Tanzania ni kama kimekufa tu.
Naomba tufafanulieni jamaniMajeneza matatu ya ndugu![]()
Naomba tufafanulieni jamani
mbona hakieleweki kuna taarifa kuwa miili ya Marehemu ipo Lugalo kwa ajili ya kutambua DNA za hao watu watatu waliopata ajali ya Helkopta akiwemo Deo Filikunjombe, Runani Slaa na mwingine
huku tunaoneshwa msafara kwingine majeneza la la Marehemu likiwepo pamoja na Nduguye
![]()
Which is which Deo alikuwa na Kaka yake au abiria wa Helkopta walikuwa zaidi ya wanne?
RIP ndigi zangu wote mliokutwa na ajali ya Helkopta
tofali nashukuru sana kwa taarifa kamili na sahihi hasa maana sisi wengine tupo mbali kuzipata taarifa km hizo mpaka JF na ninyi MemberKatika msafara walikua watu wannee...rubani slaa...deo na jamaa wa deo wawili waitwao plasdius.haule na egid nkwera...na unaambiwa huyo nkwera aliomba tu lift ya chopa wkt haule ni ndg wa karibu kbsa wa deo ambaye huwa na deo kila sehem ktk shughuli zake za siasa...maiti tatu zote zilienda kijichi na kusafiri baadae kwenda ludewa..ya mzee slaa sina taarifa msiba ulikua wapi
Tanzia! Filikunjombe aaga dunia - wavutiLukwangule blog Aidha watu wa anga walithibitisha kwamba Kapteni William Silaa na abiria wake watatu, Deo Filikunjombe, Kasablanka Haule na Egid Mkwela waliondoka Dar , uwanja wa ndege wa kimataifa wa JNIA saa 9.57 jioni na kutarajiwa kuingia Njombe saa 12 jion
Kwanini hilo Taifa likampandisha chopa ?....Neno TAIFA kwa wamalawi ni km ugaidi...TAIFAS ni washika watumwa , wamamizi na wauaji kutoka mbali kupitia ktk pwani,fuko na ardhi ya Tanganyika....ndio hicho unamaanisha kinamhitaji huyo jamaa?
I can't imagine sura ilivyokushuka baada ya kuhakikishiwa kuwa its true. R.I.P Deo filijunjombe
Haya ndio madhara ya Chopa za 10% , CCM kila kitu kwa ni kupiga dili hata kwenye maisha yao wenyewe.
RIP Deo Mungu akuweke mahala pema, wewe ndio ulikuwa mpiganaji wa ukweli ndani ya CCM. Daima tutakukumbuka kwa mchango wako katika Taifa letu. Tunakushukuru kwa uzalendo wako na hatutokusahau ndani ya mioyo yetu
Khaa!! Kiongozi Hapa ndiyo mwisho wa uelewa wako?we unafikiri kuwa chopa inaweza tuwa sehemu zote siyo kosa lako maana twaweza walisha tuambia 75% ya vijana wa ccm ni mazuzu
mkuu yaan nasema kabisa taifa hili upande wa huduma za kijamii ziko chini sana.
Kwanza ule msitu ni mkubwa sana, vilevile barabara za mle znavikwazo vingi.
Jambo la kufanya ilitakiwa chopa ndio ifanye kazi lakn tanzania hii shuguli zote zinategemea chopa ya polisi tu. Wakat ilibid kila mkoa uwe na chopa hata mbili. Kama ajali livyotokea saa 11 ilibidi chopa ya morogoro ndio zifanye kaz kwa mda huo. Yaan wale wahanga hawakuwa na namna ya kupona hata kama ndege isingeripuka
Najua..na wao wanajua...na wanawajua wauza watumwa waliokuwa wakiwashika km wanyama wetu wanavyokamatwa porini leo..Tukiacha unafiki tutafikiri vizuri.CCM huwa na logic km yako..haki za binadamu kwa wengine huwa haziwahuus sana.Pengine ukiwa unawajua waarabu mipaka ya nchi km taifa ni pale wengine wanapokuja kwao au kufaidika kwao ila km hakuna tishio kwao. Kwa wengine waarabu hawana wala hawapendi mipaka..Taifa ni neno la kiarabu linalomaanisha ''nation''. Hao wamalawi walilishwa propaganda za chuki na Dk. Banda ,kibaraka wa makaburu.Banda na Nyerere hawakuelewana kabisa. Wakati wa utumwa hapakuwepo kitu ''Taifa''. Tanganyika was a colony na pwani ilikuwa under the Sultanate of Zanzibar. Achana na wa Malawi they are the most backward people in Africa.
​tema uwo ugoro mbaliKhaa!! Kiongozi Hapa ndiyo mwisho wa uelewa wako?![]()
Khaa!!! uwo au huo ? Ndiyo maana nikakuuliza hapo ndiyo mwisho wa uelewa wako?​tema uwo ugoro mbali
shwari kabisa mdauNiaje mkuuu
Kuna mtumishi (Mwalimu) alipanda kwenye Jukwaa siku Lowassa aliyokwenda nyumbani kwa Mr Wine,jamaa aliongelea kero za walimu katika jimbo hilo,gazeti la wiki mbili zilizopita la mwananchi limeripoti kwamba yule mwalim ameitwa kuhojiwa kwa kujihusisha na siasa.Soma link hiyoWatumishi wa umma wanaruhusiwa kujihusisha na masuala ya kisiasa ikiwemo kupanda katika majukwaa ya kisuasa na kuwa mwanachama wa chama cha siasa isipokuwa shughuli hizo za kisiasa hatatakiwa kuzifanya mahali pa kazi na katika muda wa kazi. Sasa yawezekana huyo mtumishi wa umma ana likizo au yupo kazini lakini alifanya mambo hayo baada ya saa za kazi