TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

Mwaka huu ni wa ajabu kwa kweli....! R.I.P Deo Filikunjome, Christopher Mtikila, Makaidi, Celina Kombani, Kigoda, et al...!
 
Wakuu habari za huzuni ni hizo.. Mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe afariki dunia katika ajali ya helcopter
 

Attachments

  • 1444995188539.jpg
    1444995188539.jpg
    20 KB · Views: 3,082
Deo jamani, ni pigo kubwa sana, sitaki kuamini, kwa Mungu umeliruhusu hili? Nisamehe kwa kuhoji hili, nimeumia sana. Pumzika kwa amani DEO,
 
  • Thanks
Reactions: nao
R.I.P deo sina namna ya kuelezea machungu yangu. Why why God
 
  • Thanks
Reactions: nao
Nimewaza kuhusu deo nikakumbuka mch mtikila nae ni wa huko ludewa,dah poleni sana ludewa
 
R.I.P wapendwa, mungu kawapenda zaidi. Mmetangulia na sisi tutawafuata.
 
Juzi nilikuwa na mtu mmoja wa Ludewa.. Akaniambia tangia siasa za vyama vingi zianze hakuna mbunge aliyerudi mara mbili bungeni katika jimbo lao, na ni Deo pekee ndiye ambaye angekuwa wa kwanza.. R.I.P Deo

Fafanua vizuri hapa mkuu
 
Huu msiba ni mkubwa kwa taifa letu TZ,hapa hakuna ishu ya itikadi ya chama,Mwenyezi Mungu azirehemu roho za marehemu wote wapumzike kwa amani.Amina
 
inauma sana deo alikuwa mwadirifu jaman noway pumuzika kwa aman ila ukozi umechangia jaman kuwapoteza hawa watu daaaa
 
Back
Top Bottom