TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

ni kweli MUNGU AILAZE ROHO YAKE PEMA PEPONI. R.I.P FILIKUNJOMBE
 
Kwakweli nimesikitika sanaa jamani, japo alishiriki hila za kutaka kupita bila kupingwa!

UKAWA bwana, hivi nyie na akili zenu mnaweza mkampata mtu wa kusimama na Deo halafu akamshinda, vitu vingine muwe wakweli tu msitake kuongea kwa sifa. Nakuambia hata mngemsimamisha huyo Lowasa ashindane na Filikunjombe ubunge, Lowasa wenu angechemsha so its better kuwa muwazi na penye ukweli pasemwe si kuleta UCHADEMA wako
 
Ukiondoa Deo na huyo rubani wengine waliokuwepo ni akina nani.
 
Dah nimeumia mno kwa Deo...yaani imeniuma mno,BORA HATA VUVUZELA LINGEONDOKA...OOH GOD
 
Mungu ni mwema kila wakati. Kila wakati Mungu ni mwema. Deo ulikuwa mtu wa muhimu sana mustakabali wa watz.Tutakukumbuka kwa mengi. Pumzika kwa amani.
 
Walioitwa kwa kazi ya kuliombea taifa wamegeuka wapiga deal, nao wanatuhumiwa kupokea milungura.. Sasa shetwaan ngoja ajidai..
 
Magufuri alikuwa mmoja wa waokoaji? Why politics on issues like this! Lets be sensible!
 
Alafu yule mpuuzi January kazi kusema wako hai, hakuna majeruhi.. Bure kabisa hawa watu

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php
 

Attachments

  • qw.JPG
    qw.JPG
    14.8 KB · Views: 716
  • we.JPG
    we.JPG
    12 KB · Views: 715
  • rrr.JPG
    rrr.JPG
    13.3 KB · Views: 692
  • tt.JPG
    tt.JPG
    15.6 KB · Views: 697
duuuuuuuu huyu jembe sana mi binafsi namfagilia sana jamani eeee MUNGU tusaidie mbona hii balaa
 
Back
Top Bottom