tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
Wema hawadumu
serikali ifanye uchunguzi haraka ili chanzo cha ajali hii kijulikane. isije ikawa mafisadi ndio wameisababisha.
rip kamanda filikunjombe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wema hawadumu
Naam, kama waliweza kujenga shule kila kata, madawati yanawashinda nini? Fikiri.
Si kila kitu kungja kufanyiwa kama maiti.
Njoo kijijini kwetu ujionee, hakuna mwanafunzi asiye na dawati na kiti na hakuna chumba kimoja cha darasa kusoma zaidi ya watoto 45. Na hatukungoja Serikali, Serikali inatuletea walimu tu na kila Mwalim akija hataki kuondoka kwani tunampa eka mbili za kulima na tunamsaidia kulima, kupalilia na kuvuna na faida ni yake.
Hakuna Mwalimu asiye na nyumba ya kuishi kijijini kwetu na samani zote za ndani tunamchangia.
Lakini zote zina "inventory" anakabidhiwa rasmi ni mali ya kijiji na akiondoka anawacha vyote anaondoka na yake tu. Shamba ni lake lakini ardhi ni ya kijiji ili asiuze.
Hatungoji serikali, sisi siyo maiti.
Kiinglish cha magufuli (you was leader).
Poleni sana wafiwa.
Siasa za CDM hakuna mtu yeyote anaetumia kichwa chake makini na sawasawa anawaunga mkono.Hakuna mtu makini yeyote anayependa SIASA ZA CHUKI KALI,KUITANA MAJINA FISIEM,FUJO,VURUGU NA ZOMEAZOMEA.Hayupo.Hilo kundi usemalo ni watu wachache sana na tena wengine hata VITAMBULISHO Hawana.FANYENI SIASA ZA HOJA,CHUKI HAZIJENGI.Mwl JK Nyerere alipata UHURU WA NCHI HII KWA HOJA SIYO VURUGU,FUJO,ZOWEAZOMEA NA MAANDAMANO.#R.I.PDeoFilikunjombe Tumepoteza mpambanaji
Taarifa ya makamba ilitolewa kabla ya ile ya ITV.makamba mnamuonea bure enyi watu,,,yeye alikua anafuata ripoti ya ITV waliotangaza kuwa filikunjombe yuko salama...makamba nadhani kwa kuaimini itv,alidhani itv wamestablish contact na deo....sasa hapa anaepaswa kulaumiwa ni itv
Hata kama angesikia CNN au BBC bado ilimlazimu ajiridhishe kwanza kabla ya kukurupuka na kuleta propaganda za kijinga.makamba mnamuonea bure enyi watu,,,yeye alikua anafuata ripoti ya ITV waliotangaza kuwa filikunjombe yuko salama...makamba nadhani kwa kuaimini itv,alidhani itv wamestablish contact na deo....sasa hapa anaepaswa kulaumiwa ni itv