Helkopta ndio "imetonesha" majeraha ya Lissu? Namshauri ashughulikie afya yake, asifanye Urais jambo la dharura kwake

Msimshangae sana Lussu. Hili nawakumbusha kila siku, lakini naona bado halijawaingia, Lussu ana aina ya utaahira uitwao usonji "autism".

Wenye usonji huwa waking'ang'ania kitru ni piga uwa lazima akipate, hasikii la mwadhini wala mteka maji msikitini.

Hiyo sikisii na kuna siku mtajihakikishia.

Sisi wewe ulivyo ulivyo punguani hivyo, unategemea kuna mtu wa kupoteza muda wake kwa maandiko yako haya ya kijinga?

Very sorry for you brain crippled old woman.
 
Yasingekuingia usingejibu.

Ukisikia puu, ujuwe limempata.
 
Siyo wametingana na mwenyekiti ndani ya chopper
 
Lissu anachofanya ni kujipotezea tu muda. Wanaofaidika na CHADEMA ni Mbowe na wenzake kutoka Machame. Juzi nimeona yupo kwenye helikopta na mwanae James pamoja na Lema. Hiyo helikopta ni wamachame tu? Namshauri Lissu ahamie CCM anaweza akapata hata cheo cha katibu mwenezi CCM mkoa wa Singida.
Ndio cheo kitakachomfaa lissu,au awe wa wilaya ili afanye kuwa anapanda taratibu
 
Inawezekana helkopta ilitua vibaya (kwa kujibamiza chini) ikachokonoa majeraha ya Lissu ndio maana haonekani kwenye kampeni?

Namshauri ajipe muda apone vizuri, sio chini ya miaka mitatu au minne. Asichukulie urais kama jambo la dharura kwake. Hili lo nchi lipo tu, aangalie afya yake kwanza.
Wewe usijifanye jina lako ni hilo wewe in chiembe ondoa chi weka n tu! Na sasa kanakuwasha washa!
 
Wewe kapuku achana na Chadema, unajua tukiacha Wajinga kama nyie mkaendelea kuleta ujinga wenu humu wote tutaonekana Wapumbavu.

Nani kaukuambia huo upuuzi wako? Lissu alishafafanua humu kuhusu huo uzandiki wenu mbona bado mnazusha tu?
Siku nikichukua kadi ya ccm ,nikateni kichwa ,aya ni maneno yangu yaliyo hai sio kama msigwa
 
Inawezekana helkopta ilitua vibaya (kwa kujibamiza chini) ikachokonoa majeraha ya Lissu ndio maana haonekani kwenye kampeni?

Namshauri ajipe muda apone vizuri, sio chini ya miaka mitatu au minne. Asichukulie urais kama jambo la dharura kwake. Hili lo nchi lipo tu, aangalie afya yake kwanza.
Kesho yupo Kisongo Arusha!
Njoo na madktari
 
Lisu siyo raia wa Tanzania, kwa hiyo hata tusipomwona hatushangai!
Ila kwa kuwa afya yake ni mgogoro mgogoro, basi ushauri wako ni mzuri kwake
 
Inawezekana helkopta ilitua vibaya (kwa kujibamiza chini) ikachokonoa majeraha ya Lissu ndio maana haonekani kwenye kampeni?

Namshauri ajipe muda apone vizuri, sio chini ya miaka mitatu au minne. Asichukulie urais kama jambo la dharura kwake. Hili lo nchi lipo tu, aangalie afya yake kwanza.
Kampeni zipi
 
Daah aisee
 
Back
Top Bottom