Elections 2010 Helkopta ya CUF yafunika Igunga

mkigoma

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
1,180
Reaction score
309
imewasili hapa saa 17.15 jioni na kukusanya umati mkubwa wa watu, na baadaye kuelekea Mwanzugi ambapo Mbunge Leopold Mahona alikuwa akifanya mkutano.
 
nyie mlikoko igunga mnatupeleko siko,jana kuna jamaa kasema helkopter mbili za ccm zilitua,kwenye tbc wawnasema hakuna kitu kama hicho
kama kweli weka foto acha maneno matupu
 
hii nitaicheck vizuri
 
enhe!!!! na CUF wana helcopter duh!!!!, bado kuona ya Mtikila DP sasa
 
nyie mlikoko igunga mnatupeleko siko,jana kuna jamaa kasema helkopter mbili za ccm zilitua,kwenye tbc wawnasema hakuna kitu kama hicho
kama kweli weka foto acha maneno matupu
Ni huyuhuyu mkigoma ndiye alitudanganya jana. inawezakana ni kada huyu...makada wamebobea kwa uzushi na uongo.
 
Ya UPDP imetua kahama kufanyiwa service.
Kesho saa 4 itakuwa hapa...
 
imewasili hapa saa 17.15 jioni na kukusanya umati mkubwa wa watu, na baadaye kuelekea Mwanzugi ambapo Mbunge Leopold Mahona alikuwa akifanya mkutano.

Mkigoma hivi Igunga kuna Helkopta ngapi?
 
Akili za akina Tambwe na Mtatizo .Chadema I like them wao wanalia na CCM pekee lakini CUF wanalia na Chadema utadhani wana madaraka .Ujinga mwingine hakika ni wa ajabu sana.
 
teh labda ile ya asili ambayo inatembea usiku!
 
nyie mlikoko igunga mnatupeleko siko,jana kuna jamaa kasema helkopter mbili za ccm zilitua,kwenye tbc wawnasema hakuna kitu kama hicho
kama kweli weka foto acha maneno matupu

Ni huyu huyu ndie aliyeripoti hiyo habari ya jana hivyo akujibu.
 
nyie mlikoko igunga mnatupeleko siko,jana kuna jamaa kasema helkopter mbili za ccm zilitua,kwenye tbc wawnasema hakuna kitu kama hicho
kama kweli weka foto acha maneno matupu
Ni huyu huyu mkigoma amekuwa Air trafic controller wa Igunga sijui ya SAU itafika lini.
helkopta 2 za chama cha mapinduzi zimetua hapa igunga zikiwa na January Makamba na John pombe Magufuli.
 
Muongo mkubwa jana ulitudanganya helkopta 2 za ccm zimewasili kumbe ni uongo mkubwa.Leo unatudanganya ccm b ilikusanya umati wa watu kumbe nasikia watu wenyewe hawafiki kumi.
 
Mkigoma Yeye Anaripoti Utuaji wa Helcopter hapo Igunga, Sijui yupo control tower?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…