Elections 2010 Helkopta ya CUF yafunika Igunga

Elections 2010 Helkopta ya CUF yafunika Igunga

imewasili hapa saa 17.15 jioni na kukusanya umati mkubwa wa watu, na baadaye kuelekea Mwanzugi ambapo Mbunge Leopold Mahona alikuwa akifanya mkutano.

Kwahiyo unataka tujadili nini kuhusu hiyo helcopta? Uchaguzi wa Igunga ni wa Ubunge so kufunika kwa helcopta kunamashiko gani?
 
Naamini (vyame vyote) wanatunza hesabu zao vizuri ili mwisho wa siku tuje tujue wametumia kiasi gani cha fedha kukipata au kukikosa kiti hicho cha ungune
 
Mkigoma hivi Igunga kuna Helkopta ngapi?

kuna Helkopta 3, CCM 1, CUF 1, na CDM 1, jana tulitangaziwa hapa kwenye mkutano kuwa helkopta 2 za ccm zingetua jana lakini haikuwa, kwa hiyo helkopta 1 ya ccm imewasili leo Asubuhi na CUF imewasili jioni saa 11.15 habari zaidi angalieni TBC ITY NA STAR TV walikuwepo wakati zinawasili Helkopta hizo.
 
Nashukuru mkuu kwa taarifa
 
imewasili hapa saa 17.15 jioni na kukusanya umati mkubwa wa watu, na baadaye kuelekea Mwanzugi ambapo Mbunge Leopold Mahona alikuwa akifanya mkutano.

taarifa ya habari ya tbc imeonyesha ni helicopta 2 za ccm na chadema ndiyo zilikata mbuga Igunga. Yaani ccm choka mbaya, Januari Makamba alikuwa anahutubia watu kama 50 hivi, na Kamanda wa Anga Mbowe alikusanya watu nyomi, Arusha mtoto! Dalili njema kwa peoples power!
 
Yule mgombea wa UPDP naye kesho anashusha helikopta. Haki ya nani hapatoshi Igunga.
 
imewasili hapa saa 17.15 jioni na kukusanya umati mkubwa wa watu, na baadaye kuelekea Mwanzugi ambapo Mbunge Leopold Mahona alikuwa akifanya mkutano.

acha unafiki dogo... huku ni ukweli tu, sio mambo ya kizushi
 
Jamani tunataka habari za uhakika humu.
 
jamani mimi nawahabarisha habari za huku, jana ni kweli nilitoa taarifa kabla helkopta hazijatua, magamba walituambia kuwa helkopta 2 zitatua muda si mrefu baadaye wakaahirisha hadi leo, ambapo imetua 1 asubuhi. na CUF imetua saa 11.15, jioni baada ya mtatiro na jussa kuongea machache na wana Igunga waliondoka na helkopta kuelekea mwanzugi ambapo mgombea alikuwa na mkutano huko,
 
Dah bongo bana sasa hizo helcopta zote zilizoko igunga si zingepelekwa zanzibar wakati wa ajali ili kuokoa watu au kwa sababu nungwi hakuna uchaguzi kuna maafa kwa hiyo hamna ulaji!
 
Akili za akina Tambwe na Mtatizo .Chadema I like them wao wanalia na CCM pekee lakini CUF wanalia na Chadema utadhani wana madaraka .Ujinga mwingine hakika ni wa ajabu sana.

Ulikuwa wap kipindi cuf waanapaambaana na ccm huku vyama vyote vikiwapiga vita, tena ajabu hata vyombo vya habari vyote vilikua against them!
 
Back
Top Bottom