Izack Mwanahapa
JF-Expert Member
- Apr 21, 2011
- 497
- 236
imewasili hapa saa 17.15 jioni na kukusanya umati mkubwa wa watu, na baadaye kuelekea Mwanzugi ambapo Mbunge Leopold Mahona alikuwa akifanya mkutano.
Mkigoma hivi Igunga kuna Helkopta ngapi?
kuna Helkopta 3, CCM 1, CUF 1, na CDM 1, jana tulitangaziwa hapa kwenye mkutano kuwa helkopta 2 za ccm zingetua jana lakini haikuwa, kwa hiyo helkopta 1 ya ccm imewasili leo Asubuhi na CUF imewasili jioni saa 11.15 habari zaidi angalieni TBC ITY NA STAR TV walikuwepo wakati zinawasili Helkopta hizo.
imewasili hapa saa 17.15 jioni na kukusanya umati mkubwa wa watu, na baadaye kuelekea Mwanzugi ambapo Mbunge Leopold Mahona alikuwa akifanya mkutano.
Lete picha acha longolongo
Nashukuru mkuu kwa taarifa
imewasili hapa saa 17.15 jioni na kukusanya umati mkubwa wa watu, na baadaye kuelekea Mwanzugi ambapo Mbunge Leopold Mahona alikuwa akifanya mkutano.
Mkuu, nasikia ya UMD ipo Nakuru Kenya itatua kesho asubuhi
Akili za akina Tambwe na Mtatizo .Chadema I like them wao wanalia na CCM pekee lakini CUF wanalia na Chadema utadhani wana madaraka .Ujinga mwingine hakika ni wa ajabu sana.
Ya UPDP imetua kahama kufanyiwa service.
Kesho saa 4 itakuwa hapa...