Benny EM JF-Expert Member Joined Aug 31, 2011 Posts 488 Reaction score 349 Oct 14, 2011 #1 wana jf wanapa pole wote ambao hawajapata mkopo,ikiwa mi mwenyew pia ni muanga wa janga hili,lakini nawasihi kwamba wafanye dili zingine mtaani wakivuta subira ya kujaribu tena mwakani,labda bodi itatufikilia...inauma sana lakini..
wana jf wanapa pole wote ambao hawajapata mkopo,ikiwa mi mwenyew pia ni muanga wa janga hili,lakini nawasihi kwamba wafanye dili zingine mtaani wakivuta subira ya kujaribu tena mwakani,labda bodi itatufikilia...inauma sana lakini..
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Oct 14, 2011 #2 Poleni sana vijana,,mcfe moyo,mungu yupo nanyi.
Husninyo JF-Expert Member Joined Oct 24, 2010 Posts 23,851 Reaction score 9,472 Oct 14, 2011 #3 mmmmmh, unahitaji kujua mwongozo wa jukwaa la elimu.
Mzee JF-Expert Member Joined Feb 2, 2011 Posts 13,602 Reaction score 5,809 Oct 14, 2011 #4 Kichwa cha habari ni tofauti kabisa na content ya topic.
H HAMY-D JF-Expert Member Joined Sep 18, 2011 Posts 7,149 Reaction score 3,825 Oct 14, 2011 #5 Kaka we salimia utulie usianze kutia huruma kuhusu mambo ya mkopo kwanza tumesha zipotezea hizo habari.
Kaka we salimia utulie usianze kutia huruma kuhusu mambo ya mkopo kwanza tumesha zipotezea hizo habari.
Vin Diesel JF-Expert Member Joined Mar 1, 2011 Posts 9,088 Reaction score 6,384 Oct 14, 2011 #6 Husninyo said: mmmmmh, unahitaji kujua mwongozo wa jukwaa la elimu. Click to expand... Shikamoo dada!
Husninyo said: mmmmmh, unahitaji kujua mwongozo wa jukwaa la elimu. Click to expand... Shikamoo dada!