helllo jf members i'm new in this ed forum,nawasalimu wote...

helllo jf members i'm new in this ed forum,nawasalimu wote...

Benny EM

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2011
Posts
488
Reaction score
349
wana jf wanapa pole wote ambao hawajapata mkopo,ikiwa mi mwenyew pia ni muanga wa janga hili,lakini nawasihi kwamba wafanye dili zingine mtaani wakivuta subira ya kujaribu tena mwakani,labda bodi itatufikilia...inauma sana lakini..
 
Poleni sana vijana,,mcfe moyo,mungu yupo nanyi.
 
mmmmmh, unahitaji kujua mwongozo wa jukwaa la elimu.
 
Kichwa cha habari ni tofauti kabisa na content ya topic.
 
Kaka we salimia utulie usianze kutia huruma kuhusu mambo ya mkopo kwanza tumesha zipotezea hizo habari.
 
Back
Top Bottom