Hello. A little help here

Hello. A little help here

beluwa

Member
Joined
Jul 15, 2020
Posts
78
Reaction score
78
Nimepoteza kwa round ya pili, thanks to wanaonisumbua kwa uchawi. Nipo Nairobi sasa hivi. All my secrets can be known by the people who are using majini kunisumbua. Nikipata kazi, wanayauliza majini ni wapi nilikua, wanaenda hapo wanaturn that person against me. I have a thread here nilikua nikitaka kuja Tz sometime back, sasa shida zinaniandama proper.

Swali ni, how can I easily enter Tz without customs kuniuliza swali? I have EAC passport but lost my ID. Niko pabaya, I need to leave before my rent is due. Nisifungiwe keja bila mpango. I have skills za mitaani so kuhustle sio shida kwangu. Maisha yangu inavurugwa na wenye wivu nikitizama. They don't also want me to remove the majini. Since they know all my secrets, nilipata mtu wa kunitoa but walikimbia huko. Imekua balaa wenzangu, I hope you now understand my problem.

It is not normal for a man mwenye anaeza jitafutia kuteseka kama kiwete.
 
02dfb119c2ec53ba5569c34f7b0e2388.jpg
 
Skuelewi

Nataka kuhamia huko kabisa, since EAC ni moja. No way atakuja huko kunisambaratisha. Pia najua huko nitatibiwa na nipate kisasi
 
si utumie ungo upae ufike huku ila usitarajie mwigulu hatakutiza kodi kwenye usafiri wako
 
Wajua waweza poteza fea yako kitambo uje ujue kuwa upo kwa wrong path ushachelewa joh.
Kama ni majini wamekuekea ndani huwezi survive bila kutoa hizo kitu Kwanza, Mana hiyo ni ramani yao kwako.
Hivi najua watazipata habari zangu kutaka kuondoka waaanze kupanga vile watanikazia mipango. Watu wamama washenzi sana.

Hata ukiwaona wakenya, wivu ni kama wa ahera
 
Hivi najua watazipata habari zangu kutaka kuondoka waaanze kupanga vile watanikazia mipango. Watu wamama washenzi sana.

Hata ukiwaona wakenya, wivu ni kama wa ahera
Don’t panic trust in Jesus, fight using His mighty Name, washinde wachawi, you can’t run away from them to Tanzania. You have worse witches in Tz. Mtafute Yesu Kristo vizuri anaweza.
 
Don’t panic trust in Jesus, fight using His mighty Name, washinde wachawi, you can’t run away from them to Tanzania. You have worse witches in Tz. Mtafute Yesu Kristo vizuri anaweza.
Nimejaribu lakini wapi. Lazima nijikomboe!
 
vuka border kihalali, tafuta ID nenda mamlaka husika utapata. then kuja bongo 🇹🇿 kihaki. kuruka ukuta nyumba ya mwenzako sio sawa ndugu.
majini yako yashindwe ktk jina la Yesu, amen.
 
Sina hio advantage saii, naeza sort hio maneno later. Ni KUANGUSHWA NAANGUSHWAA!!!
vuka border kihalali, tafuta ID nenda mamlaka husika utapata. then kuja bongo 🇹🇿 kihaki. kuruka ukuta nyumba ya mwenzako sio sawa ndugu.
majini yako yashindwe ktk jina la Yesu, amen.
 
Ni vile waweza hamia huku Moto ukakuwakia zaidi
Yule mchawi mbaya ni anayekufuata kila mahali, wengine najua wanakuroga wanasahau na wewe, hivo unaweza kujikomboa. Hawa ni washenzi wanatumia majini kunufuatilia bila kikomo mpaka nianguke niishe kabisaa.
 
Back
Top Bottom