habari zenyu bana..
Nasikia Bishanga ni tajiri wa humu na mimi naomba niwe mke wako.
Zahra White.... Kaa mbali na muchumba wangu Bishanga.
Mutafute mu Baba V yeye yuko single but booked.
Duh....! Mbona sisi mabachela hamtupigii debe au kwa kuwa hatuna mautajiri...
utajua mwenyewehey mijanaume munikome muniwache kunipm.
I am very expensive clijui jua la bongo.
Huwaga nawapaga my life stories to release the burden and am not looking for mens or sexmate.
And those pm's goes directly to my muheshimiwa email.
Munikome muniwache
ukitoka huko upitilize angaza ukaombe kitanda wakulaze kabisa aseee
utajua mwenyewe
Hahahaaah! Nimeghairi kumbe sina ujasiri huo....
pitia thread alizotooa ndio utamtambua vizuri
Hahahahaaah!!!! Hii siiwezi........naondoka kimyakimya hapa kama sikuwepo.
Hahahahaaah!!!! Hii siiwezi........naondoka kimyakimya hapa kama sikuwepo.
Nivea sijajua hata huyu bi shosti kafika je huku
hapa ujue tumeingiliwa
hata ndoa ya Arushaone na Lady doctor lazima itapata dosari
najua Arushaone ni lazima atammendea tu
yes waniwache wanikome.
Tena maskini wanikome kabisa
onngea kwanza na The secretary ndio mke halali wa ndoa,angalia ki badge chake ni kweli bishanga ni tajiri utafwaidi sana ila wewe si mja mzito na bado una wanaume lukuki??bado wantaka Bishanga
sasa basi akikukataa Bishanga hilo zee la kihaya jaribu tena kwa huyu tajiri mwingine wa kihaya anaitwa KakaKiiza kizuri kula na mwenzako bidada
Zahra White
uwiiiiiiiiiii
umekujaje huku
hivi kweli unataka Bishanga akawe wa 121 looooh Bishanga kwa heri tena ya kutokuonana