Zahra White.... Kaa mbali na muchumba wangu Bishanga.
Mutafute mu Baba V yeye yuko single but booked.
Zahra White.... Kaa mbali na muchumba wangu Bishanga.
Mutafute mu Baba V yeye yuko single but booked.
ukisikia neno ''mjini hufi njaa'' ndio kazi yetu majungu pia ni mtaji unaotuweka mjini hapa nikuwa smart tu kucheza hiyo gambling
Majanga...... mbona majanga...
toa kauli kama mwenyekiti, sio una cry cry hapa
Zahra White.... Kaa mbali na muchumba wangu Bishanga.
Mutafute mu Baba V yeye yuko single but booked.
Chimbuvu kumbe na wewe unajua kuimba!!!!!!Usininyweshe sumu ya penzi,nikafa kibudu,daima na milele nitakuwa nawe maisha yangu yote.usiende kwa mganga kama Lady doctor
Chimbuvu kumbe na wewe unajua kuimba!!!!!!
naona unamshushia madame mistari!!!!!!!!!!!
Taratibu basi wambeya wasisikie, tutayamaliza kiutu uzima haya.hata hivyo sijui kama
nitakuamini tena
mmmmh
Hahahahaah! Mimi huu mziki siuwezi maana hata hiyo akaunti sina.hahaaa anataka wenye akaunti uswiswi,sijui we Katavi unayo
kuna mtu aliulizwa ana akaunt wapi akajinu NMB.....
Jibu alilopewa ngoja nibaki nalo tu!!!!!!!!!!!!