Zahra White
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 598
- 576
- Thread starter
-
- #61
hahahahah
Nimeamini hakuna fani ngumu kama kuigiza.
hahahahahah kumbe Zahra White anajua kuandika vizuri kiswahili.
Ruttashobolwa mbele ya penzi hadi kiswahili fasaha amekijua ....hahahahah
Nimeamini hakuna fani ngumu kama kuigiza.
hahahahahah kumbe Zahra White anajua kuandika vizuri kiswahili.
Nivea sijajua hata huyu bi shosti kafika je huku
hapa ujue tumeingiliwa
hata ndoa ya Arushaone na Lady doctor lazima itapata dosari
najua Arushaone ni lazima atammendea tu
that was roughly estimation
158 exactly figure.
Mi mutamu balaaa.
Siachiki
Zahra White.... Kaa mbali na muchumba wangu Bishanga.
Mutafute mu Baba V yeye yuko single but booked.
hahaaa anataka wenye akaunti uswiswi,sijui we Katavi unayo
kuna mtu aliulizwa ana akaunt wapi akajinu NMB.....
Jibu alilopewa ngoja nibaki nalo tu!!!!!!!!!!!!
ile ilikuwa ni swagga nitoke vipi.
Pamoja na kutumia ID's na Avatars zetu feki, lakini haibadilishi uhalisia wa mioyo yetu...
Ruttashobolwa mbele ya penzi hadi kiswahili fasaha amekijua ....
mu,mu zote kaziweka pembeni!!!!!!!!!!!
masikini binamuu manoah
sasa haki yake atapewa kila baada ya miezi mi3 maana list iliyopo ni ndefu..