hello Bishanga naomba niwe mke wako


atiiii nini!!!????? Hahahaaa kweli tingatinga linapita!!

Wapi The secretary
 
Last edited by a moderator:
wengine atakuwa anatumia ile ya nyumbani
ya juu juu
wengine atawapiga saundi
wengine atawapagawisha na fedha na kilauri
kwani unafikiria atawado wote kweli,
sidhani, eti Bishanga unayamudu yote yote.

namaanisha atakufa kwa kukosa muda
wa kupumzika,binadamu akizidisha tunda la
katikati hua ina madhara eti,kila siku kuoa ni hatare kwa afya!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…