stongwomang
Member
- Dec 1, 2014
- 33
- 3
Ni vitu gani hasa vinasababisha mimba kuharibika?mchango wako ni muhimu katika hili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni vitu gani hasa vinasababisha mimba kuharibika?mchango wako ni muhimu katika hili
Me sio dr. Lkn nafaham baadhi ya sababu znazoweza pelekea mimba kuharibika..cha kwanza kabisa ambacho huwa nakuexperience ni pale m.mke anaposhika mimba bila kujigundua then akawa anaumwaumwa ovyo ( c unajua vile mimba changa inavyosumbua?..then akaenda hosp na akagundulika ana malaria au u.t.i na akapewa dawa kali bila kujua anaharibu mimba! Kingine baadh ya w.wake vizaz vyao viko chini kidogo na m.mke akishiriki tendo la ndoa kwa kujiachia sana uume ukapitiliza unaweza kwenda kudistab na ikapelekea mimba kuharibika! Kingine na stress msongo wa mawazo vinapelekea miscarriage! Ushauri!! M.mke ambae anakutana na m.mme bila kinga yyte ni vema akawa anachek mara kwa mara ili apate kujua km imetunga ama laah! Ili kuweza kujiepusha na kuharibika kwa mimba..
very good nakingine ni ushirikina na abortions za kila mara
Ni vitu gani hasa vinasababisha mimba kuharibika?mchango wako ni muhimu katika hili