Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,570
- 10,517
Subiri ukifika 30 u apply
Mbona haujaandika "nikikupea utawezana..?"
Sasa kwa hiyo miaka si unafungisha breki za kenge wengi tu humu..![emoji28]
Hivi wanawake nani kawadanganya kuwa waowaji wanaanzia 30 years..?
Hivyo sisi 20's tunakwama wapi..?
Kumbukeni nae anena utafika wasaa nao mwali sita watamuendea bwana mmoja wakimtaka waitwe kwa jina lake!,huku wakinena chakula tutajitafutia ila tu turuhusu tuitwe kwa jina lako..!
Siku na wasaa uukaribu[emoji28]