Hello future Hubby

Mnahangaika na Warefu,, mwataka wakuwatungulia maembe au.
 
Mimi mwenyewe hata nibaki na wanawake wa kisabato pekee duniani siwezi kuoa, bora mwislamu.
Bila shaka utakuwa na sababu maalum kwa upande wako.
Inaamaana hapa tunaongelea athari za itikadi za kiimani ama nafasi kila mmoja katika kumpata mwenza anayefaa kwa ajili ya maisha
 
$TATA'z inatesa wengi!
kila mtu anataka TITLE kubwa,
ili apate ULAJI Mjini,
apewe MIVYEO classic.
 
Namba 5. Weusi kiasi gani?

Halafu miaka 35 si naruhusiwa kuja na wanangu?
 
Wanawake ni watu wa kuchagua chagua sana, wanaweza set standards zao, ila atachagua sana......kigezo kimoja ukimiss kwake umekataliwa.

Mwisho wa siku ninge ninge zinakuwa nyingi.
 
Siwaharibii Mkuu, hamna mwanaume Muoaji, ambaye utakuta ana Maisha yake vizuri tu na Afya njema, Et Sasa anamiaka 40 ndo anataka kuoa .

Kuna Tatizo lazima.
Kweli labda aina za kina Ginimbi ambao wanamali za maagano.....
 
Wengine nyash hatuzingatii sana, titi lipo? Kama lipo Chap nitume CV yangu PM, mambo ya akili timamu utaijua tukiwa pamoja
 
Kwani huko ulikozaliwa au kukulia. hakuna watu hadi uwatafute kwenye mitandao ya kijamii au unawaongopa kwa vile wanajua mazabe yako? Mpaka umri huo ulikuwa unafanya/unangoja nini? Ujana ulimalizia wapi utafute mtu wa kuangushia uzee? Nauliza tu mwanangu.
 
Just read and don't judge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…