Hello future Hubby

Well said.
Akisoma akaelewa mtafutaji atabadili vigezo vyake. Maana mwanaume wa miaka 35+ aliyekamilika kuwa mume ni ngumu kumkuta single.
 
Huo ni umario tu
 
Mambo ambayo hautakiwi kuyapa kipaumbele ni haya

Kabila
Elimu
Dini

We tafuta MTU smart anayejitambua hiyo inatosha Sana.

Tofauti na hapo utapata MTU asiyeeleweka.

Then wewe ni financial services umekuja na I'd mpya kutafuta Mwanaume.
Hapana mimi sio huyo uliyemtaja
Na ushauri wkao umechelewa
 
Pisi imesimama hiyo ila sasa nilimuuliza yupo tayari kwenda kuishi seychelles naona anajifimiria bado labda analapenda bongo sana
Mhh sycheles umefika lini wewe si upo kibamba au
 

"Nyashi ipo" mwisho wa kunukuu
 
Unaharibu sasaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Sasa wewe si una kipato kinajitosheleza lakini.
Mwanamke yeyote Duniani hata akimzidi mwanaume wake kipato huwa anajisikia fahari sana kupewa pesa na mumewe ama kuhudumiwa na mumewe,kwa sababu mwanamke mentality yake imeundwa kuongozwa na mwanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…