Hello future Hubby

suala la umri vumilia tu chukua hata 25 above
 
Ningekuwa mwanamke mimi na nimeshakwama,aah isingekuwa kazi kusimamisha mwanaume njiani na kumchukua maelezo chap kuona kama anafaa kusogeza maisha.

Sasa humu fake IDs tupu utajuaje kama mtu ni smart au siyo smart,bora unayemuona kwa macho huyo huyo sema nae na mbona wanaume sisi tunatongozeka kirahisi tu,shida dada zetu hamtaki kuchukua hatua.
 
Mbona kama ww n Dume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…