Zulu man
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 6,084
- 15,998
Kijana Mwachiluwi ,mchumba huyu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahaha nmecheka sana kabla ya kucoment Hapa chini 😂😂😂una uhakika simu hutashika?
suala la umri vumilia tu chukua hata 25 aboveWakuu
Nmekuja kwenu kwa heshima kabisa, nmechoka upweke wa muda mrefu
Natafuta mume sio mpenzi
SIfa zangu
1. Mimi ni mrefu kiasi mweusi
Sio mnene wala mwembamba (nyash ipo)
Nafanya kazi na Nina kipato kinachonitosha
Ni mkristo mkatoliki
Sina mtoto wala sijawahi kuolewa
Naishi Dar
Nina miaka 32
Mwanaume ninayemtaka
1. Awe Dar sitaki long distance relationship kwa sababu nmeachana na x wangu kwa sababu ya umbali.
2. Uwe na kazi ya kukuingizia kipato au biashara
3 uwe tayari kuwa na familia, ndoa takatifu na kuwa baba wa familia
4. Uwe na akili timamu
5. Uwe mrefu mweusi ( mimi ni mweusi)
6. Uwe mkristu ( Lutheran au catholic ) wasabato hapana
7. Uwe umemaliza ujana sitakuwa na muda wa kukufatilia
8. Umri uanzzie 35 hadi 45
Nimekuja humu kwa sababu naamini mliopo humu ndo mliopo mtaani pia. Kwahiyo naomba msinibeze ukiona sikufai tafadhali usije pm
PM yangu ipo wazi, karibu future husband tuyajenge, nitakupenda hadi utafurahi
Mbona kama ww n DumeWakuu

unatakiwa uchanganye rangi!.. we hutaki mwanga nyumbani kwako..?Kila mtu na choice yake
Yeap mungu amfanikishie hitaji la moyo wake. Mpunga mtamu wa harusini.Kila la kheri mdada, mtualike harusi tuje kupiga mpunga.
Unaharibu sasa😂😂😂. Sasa wewe si una kipato kinajitosheleza lakini.Haimaanishi sitataka pesa zake...ndo maana nmesema hapo awe na kipato
Hapana sijakuzidi umri mimiPole..mimi siwezi kuwa na mwanamumr aniliyemzidi umri
Kabisa mkurugenzi, sijui huwa wanaufanyia maombi gani, mpunga wa shughulini ni mtamu mnoo.Yeap mungu amfanikishie hitaji la moyo wake. Mpunga mtamu wa harusini.
Badili kigezo habibti tuchinje ngamia😏6. Uwe mkristu
Hapana bossBadili kigezo habibi tuchinje ngamia😏View attachment 3177191