Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 1,198
- 2,695
Kazi kama ya nyashTiti Lina kazi gani mkuu
Mwanamke miak 32 hujaolewa na huna mtoto mpaka sasa ni kwann?,,, kwa haraka haraka ww utakua kichomi haswaa maana sisi wanaume huwa hatuwezi kabisa kuachia mwanamke anaejielewa yaani wife material. Hivyo jitahidi kwanza ubadilike kifkra, mwenendo na tabia pia ili uweze kupata mume laasivyo utaishia kuwa lonely na isitoshe kumbuka mwanamke from 28 yrs tayari unaanza kupunguza uwezo wako mzuri wa kupata mtoto.Sishiki
Kumbe na wewe nae una searchingukipata nistue na mie nijilipue
SeychellesNchi gani
Mkuu umekaririMwanamke miak 32 hujaolewa na huna mtoto mpaka sasa ni kwann?,,, kwa haraka haraka ww utakua kichomi haswaa maana sisi wanaume huwa hatuwezi kabisa kuachia mwanamke anaejielewa yaani wife material. Hivyo jitahidi kwanza ubadilike kifkra, mwenendo na tabia pia ili uweze kupata mume laasivyo utaishia kuwa lonely na isitoshe kumbuka mwanamke from 28 yrs tayari unaanza kupunguza uwezo wako mzuri wa kupata mtoto.
Samahani lakini.
Siyo kwamba nimekariri, 90% ndivyo ilivyo sema kwa ww mhanga huwezi kukubali maana hamna anaeweza kuukubali ukweli.Mkuu umekariri
Badili mtazamo wako
Nyie mnapenda kuombwa hela?Kikubwa hawa wanaume hawapendi kuombwa hela kwahiyo kama wewe unazo zinazotosha mahitaji yako , utawapata wengi. Au nasema uongo Balqior?
Ukweli na uhakikaKikubwa hawa wanaume hawapendi kuombwa hela kwahiyo kama wewe unazo zinazotosha mahitaji yako , utawapata wengi. Au nasema uongo Balqior?
Hello future wife.Wakuu
Nmekuja kwenu kwa heshima kabisa, nmechoka upweke wa muda mrefu
Natafuta mume sio mpenzi
SIfa zangu
1. Mimi ni mrefu kiasi mweusi
Sio mnene wala mwembamba (nyash ipo)
Nafanya kazi na Nina kipato kinachonitosha
Ni mkristo mkatoliki
Sina mtoto wala sijawahi kuolewa
Naishi Dar
Nina miaka 32
Mwanaume ninayemtaka
1. Awe Dar sitaki long distance relationship kwa sababu nmeachana na x wangu kwa sababu ya umbali.
2. Uwe na kazi ya kukuingizia kipato au biashara
3 uwe tayari kuwa na familia, ndoa takatifu na kuwa baba wa familia
4. Uwe na akili timamu
5. Uwe mrefu mweusi ( mimi ni mweusi)
6. Uwe mkristu ( Lutheran au catholic ) wasabato hapana
7. Uwe umemaliza ujana sitakuwa na muda wa kukufatilia
8. Umri uanzzie 35 hadi 45
Nimekuja humu kwa sababu naamini mliopo humu ndo mliopo mtaani pia. Kwahiyo naomba msinibeze ukiona sikufai tafadhali usije pm
PM yangu ipo wazi, karibu future husband tuyajenge, nitakupenda hadi utafurahi