Hello future Hubby

Hello future Hubby

Mwanamke miak 32 hujaolewa na huna mtoto mpaka sasa ni kwann?,,, kwa haraka haraka ww utakua kichomi haswaa maana sisi wanaume huwa hatuwezi kabisa kuachia mwanamke anaejielewa yaani wife material. Hivyo jitahidi kwanza ubadilike kifkra, mwenendo na tabia pia ili uweze kupata mume laasivyo utaishia kuwa lonely na isitoshe kumbuka mwanamke from 28 yrs tayari unaanza kupunguza uwezo wako mzuri wa kupata mtoto.

Samahani lakini.
 
Mkuu umekariri
Badili mtazamo wako
 
Si ulikuwa kama google

Unajua kila kitu ushajua haujui

Mwenzako nishajipata

Napewa ma pasi ya pacome eeh si ulikuwa kama google

Unajua kila kitu ushajua haujui

Nacheka meno 32 yote nje (ha ha ha)

Najifungiaga chumbani nazomea

(00 000h)

Nacheka meno 32 yote nje (ha ha ha)

Nimepata habari ex wangu anaumia.

Bora umekuja.
 
Hello
Wakuu
Nmekuja kwenu kwa heshima kabisa, nmechoka upweke wa muda mrefu
Natafuta mume sio mpenzi
SIfa zangu
1. Mimi ni mrefu kiasi mweusi
Sio mnene wala mwembamba (nyash ipo)

Nafanya kazi na Nina kipato kinachonitosha
Ni mkristo mkatoliki
Sina mtoto wala sijawahi kuolewa
Naishi Dar
Nina miaka 32

Mwanaume ninayemtaka
1. Awe Dar sitaki long distance relationship kwa sababu nmeachana na x wangu kwa sababu ya umbali.
2. Uwe na kazi ya kukuingizia kipato au biashara
3 uwe tayari kuwa na familia, ndoa takatifu na kuwa baba wa familia
4. Uwe na akili timamu
5. Uwe mrefu mweusi ( mimi ni mweusi)
6. Uwe mkristu ( Lutheran au catholic ) wasabato hapana
7. Uwe umemaliza ujana sitakuwa na muda wa kukufatilia
8. Umri uanzzie 35 hadi 45

Nimekuja humu kwa sababu naamini mliopo humu ndo mliopo mtaani pia. Kwahiyo naomba msinibeze ukiona sikufai tafadhali usije pm

PM yangu ipo wazi, karibu future husband tuyajenge, nitakupenda hadi utafurahi
Hello future wife.
 
Mm vigezo vyote nnavyo ila mboo sina mana niliikata nilivyokuwa kijana mana sikutaka vishawishi, tutaweza kwenda hospitali ili tuiunganishe mana kipande bado ninacho kwenye friji
 
Mimi mkatoliki lakin Sina kazi nzuri mimi ni machinga wa posta huwa natembeza nguo

Nina miaka 32

Dah nimekosa mke kabisa jaman hapa , kweli mwenye nacho ataongozewa

Ngoja ulingo tuwaachie wanao jiweza weza

MUNGU ni MWAMINIFU
 
Back
Top Bottom