Hello future Hubby

Unauhakika kabisa, Kuna Mwanaume kuanzia miaka 35++++ 45.

Yaan ana kazi yake, ana Hela yake, ana nguvu za kiume vizuri, ila ajabu Hana Mke ,Wala mchumba Wala Mpenzi Wala mtoto au watoto??

Au unasubiria Wanaume WAGANE ?. kweli kabisa upate jamaa anamiaka 40? Hana familia ?.


Wanawake, zingatieni sana suala la UMRI , unapoolewa namiaka 25 maana yake mumeo anamiaka 30-33.

Mwanaume anapokuja kukuoa katika umri huo wa miaka 25, acha mbwembwe, acha mambo mengi nakujiona bado Mdogo, una kula ujana.


Haya wee unamiaka 32, huna mtoto, Muweke wazi Mumeo hapa, Umetoa mimba ngapi?.maana Kwa age ya miaka 32 umepitia Mahusiano mbalimbali ,sekondari, chuo, mtaani, makazini n.k ,huku kote kwamba haikunasa??.


Haya una miaka 32, unataka wa miaka 35+++.
Hao wanawatu wao, je akija Kijana wa miaka 28-30 ana kazi, mrefu mweusi, ana akili, anahamu ya familia, anahitaji kukuoa?
 
Kikubwa hawa wanaume hawapendi kuombwa hela kwahiyo kama wewe unazo zinazotosha mahitaji yako , utawapata wengi. Au nasema uongo Balqior?
Shida sio kuombwa hela na mdada, shida ni timing na frequency ya kuombwa hela, ndo mwanaume utajua hapa nadili na wife material au tapeli Hannah
 
Usituharibie mkuu, kila mmoja na mipango yake
 
Nafanya kazi na Nina kipato kinachonitosha“ kwa hii point tu wewe anza kuandaa kamati ya sendoff .. mume unaye na ndoa unayo.
Haha wanaume wajanja tunaijua hiyo🤣🤣🤣ishu sio mwanamke kuwa na kipato au kutokua na kipato, ishu ni mwanamke awe supportive.

Mdada anaweza akawa flat broke ila akawa supportive kwenye maisha ya mwanaume, kuliko mdada alieajiriwa anaelipwa million 2 kwa mwezi.

Kuna wadada Wana vipato wanapata mamilioni kwa mwezi ila vizinga vyao vilivyo vikubwa sasa utajiuliza mshahara wake anapeleka wapi, saa ingine bora udate na mdada jobless 🤣🤣🤣 Hannah
 
Mie Niko tayari, sifa zote ninazo
 
Sio kila alichopitia fulani basi na mimi nitapitia
Na ndo maana nmesema If your not interested usije pm
 
Sitaki....
Uwe...
Uwe....
Uwe...
Uwe...
Na wanaume tuko tofauti pia...hope utampata unayemtaka kwa vigezo(demand)zako.kila la kheri🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…