Hello future Hubby

Hello future Hubby

Unauhakika kabisa, Kuna Mwanaume kuanzia miaka 35++++ 45.

Yaan ana kazi yake, ana Hela yake, ana nguvu za kiume vizuri, ila ajabu Hana Mke ,Wala mchumba Wala Mpenzi Wala mtoto au watoto??

Au unasubiria Wanaume WAGANE ?. kweli kabisa upate jamaa anamiaka 40? Hana familia ?.


Wanawake, zingatieni sana suala la UMRI , unapoolewa namiaka 25 maana yake mumeo anamiaka 30-33.

Mwanaume anapokuja kukuoa katika umri huo wa miaka 25, acha mbwembwe, acha mambo mengi nakujiona bado Mdogo, una kula ujana.


Haya wee unamiaka 32, huna mtoto, Muweke wazi Mumeo hapa, Umetoa mimba ngapi?.maana Kwa age ya miaka 32 umepitia Mahusiano mbalimbali ,sekondari, chuo, mtaani, makazini n.k ,huku kote kwamba haikunasa??.


Haya una miaka 32, unataka wa miaka 35+++.
Hao wanawatu wao, je akija Kijana wa miaka 28-30 ana kazi, mrefu mweusi, ana akili, anahamu ya familia, anahitaji kukuoa?
Mkuu asante kwa kukazia, mimi pia nimejaribu kuwaza hayo japo anaona tunamsimanga.
 
1.0 Apart from sex, what else can you offer kwenye maisha ya ndoa?

2. 0 Unahitaji KUOANA? au KUOLEWA?

3.0 Kwenye mahusiano ya kimapenzi, ukijitathmini wewe binafsi, are you an ASSET? or LIABILITY?

3.1 what's your key concern kuhusu ''mume mwenye kipato au biashara''... for bills sharing? or providing maintenance to you?

Nijibu hayo hapa hapa kwanza. Not PM. 😎

-Kaveli-
 
Hatimaye nimefikiwa .... daa hureeeeeeeerreeeeeeeeeeeeeeeeeee yeah fungua pm mama ake....................nipo mume wa halal kabisaaaq
 
Na kama kale kapicha ni ka kwako dadeki ................naanza kutrust tena wanawake ............nilipopenda tu kwamba nyash ipo................mostly minapenda mwanamke anayevaa chupi kubwa kubwa
 
Wakuu
Nmekuja kwenu kwa heshima kabisa, nmechoka upweke wa muda mrefu
Natafuta mume sio mpenzi
SIfa zangu
1. Mimi ni mrefu kiasi mweusi
Sio mnene wala mwembamba (nyash ipo)

Nafanya kazi na Nina kipato kinachonitosha
Ni mkristo mkatoliki
Sina mtoto wala sijawahi kuolewa
Naishi Dar
Nina miaka 32

Mwanaume ninayemtaka
1. Awe Dar sitaki long distance relationship kwa sababu nmeachana na x wangu kwa sababu ya umbali.
2. Uwe na kazi ya kukuingizia kipato au biashara
3 uwe tayari kuwa na familia, ndoa takatifu na kuwa baba wa familia
4. Uwe na akili timamu
5. Uwe mrefu mweusi ( mimi ni mweusi)
6. Uwe mkristu ( Lutheran au catholic ) wasabato hapana
7. Uwe umemaliza ujana sitakuwa na muda wa kukufatilia
8. Umri uanzzie 35 hadi 45

Nimekuja humu kwa sababu naamini mliopo humu ndo mliopo mtaani pia. Kwahiyo naomba msinibeze ukiona sikufai tafadhali usije pm

PM yangu ipo wazi, karibu future husband tuyajenge, nitakupenda hadi utafurahi
Hapo kwenye urefu unataka awe na futi ngap
 
Haimaanishi sitataka pesa zake...ndo maana nmesema hapo awe na kipato
Yaan unaendelea tu kuuchanachana mkeka mara una kipato hutaki pesa zake mara awe na kipato sasa kipi ni kipi mboni mitego mingi hapa anasakwa dubwe au? Haimaanishi hutotaka pesa zake utaka nini pumzi yake?
 
Oya huwa wanavutia hao
Na kama kale kapicha ni ka kwako dadeki ................naanza kutrust tena wanawake ............nilipopenda tu kwamba nyash ipo................mostly minapenda mwanamke anayevaa chupi kubwa kubwa
 
Back
Top Bottom