Unauhakika kabisa, Kuna Mwanaume kuanzia miaka 35++++ 45.
Yaan ana kazi yake, ana Hela yake, ana nguvu za kiume vizuri, ila ajabu Hana Mke ,Wala mchumba Wala Mpenzi Wala mtoto au watoto??
Au unasubiria Wanaume WAGANE ?. kweli kabisa upate jamaa anamiaka 40? Hana familia ?.
Wanawake, zingatieni sana suala la UMRI , unapoolewa namiaka 25 maana yake mumeo anamiaka 30-33.
Mwanaume anapokuja kukuoa katika umri huo wa miaka 25, acha mbwembwe, acha mambo mengi nakujiona bado Mdogo, una kula ujana.
Haya wee unamiaka 32, huna mtoto, Muweke wazi Mumeo hapa, Umetoa mimba ngapi?.maana Kwa age ya miaka 32 umepitia Mahusiano mbalimbali ,sekondari, chuo, mtaani, makazini n.k ,huku kote kwamba haikunasa??.
Haya una miaka 32, unataka wa miaka 35+++.
Hao wanawatu wao, je akija Kijana wa miaka 28-30 ana kazi, mrefu mweusi, ana akili, anahamu ya familia, anahitaji kukuoa?