TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,087
- 3,156
Milio Iemanjá kusikika kama king’ora cha ambulance32?... Lakini utapata, haya mambo ni magumu kiasi hicho?...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Milio Iemanjá kusikika kama king’ora cha ambulance32?... Lakini utapata, haya mambo ni magumu kiasi hicho?...
Vipi ulipata?Wakuu
Nmekuja kwenu kwa heshima kabisa, nmechoka upweke wa muda mrefu
Natafuta mume sio mpenzi
SIfa zangu
1. Mimi ni mrefu kiasi mweusi
Sio mnene wala mwembamba
Nafanya kazi na Nina kipato kinachonitosha
Ni mkristo mkatoliki
Sina mtoto wala sijawahi kuolewa
Naishi Dar
Nina miaka 32
Mwanaume ninayemtaka
1. Awe Dar sitaki long distance relationship kwa sababu nmeachana na x wangu kwa sababu ya umbali.
2. Uwe na kazi ya kukuingizia kipato au biashara
3 uwe tayari kuwa na familia, ndoa takatifu na kuwa baba wa familia
4. Uwe na akili timamu
5. Uwe mrefu mweusi ( mimi ni mweusi)
6. Uwe mkristu ( Lutheran au catholic ) wasabato hapana
7. Uwe umemaliza ujana sitakuwa na muda wa kukufatilia
8. Umri uanzzie 35 hadi 45
Nimekuja humu kwa sababu naamini mliopo humu ndo mliopo mtaani pia. Kwahiyo naomba msinibeze ukiona sikufai tafadhali usije pm
PM yangu ipo wazi, karibu future husband tuyajenge, nitakupenda hadi utafurahi