mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo Maana Naogopa Kuwa Na Mwanamke Aliyesoma Sana Hapa Umeshaanza Kunikosoa Tayari
Hahaha Magu uongo.Magu ....mkuu
1 - Angalia mgeni anavyo quort naku replay post.Hahaha
Babu bhanaa, we nidokeze tuu hana madhara
Aiseeee1 - Angalia mgeni anavyo quort naku replay post.
2 - Angalia mgeni alivyo jisajili.
3 - Angalis mgeni anavyo fikisha ujumbe wa maandishi.
Amigo...Aiseeee
Kwani unakimbilia wapi comrade..
OoohAmigo...
Leo sababato ujue, na hapa nipo mjengoni tayari ingawa saa mbovu anazingua...[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Tuanze na bombadier kama ya GwajimaMie siombiii huwa napewa mkuu... Babu Asprin unajua sina Meli eeehh
Sio inabidi... unalazimika kuniaminiInabidi nikuamini tuu
EwaaaTuanze na bombadier kama ya Gwajima
Sawa babu akee mieee... Sema kingineSio inabidi... unalazimika kuniamini
Naomba unizalie mtotoSawa babu akee mieee... Sema kingine
Umeisha nletee tenaEwaaa
Hivi Ule ukwajuu nlikuletea umeisha au bado
Sawa SawaUmeisha nletee tena
Babu ongea taratibu bhanaa.. Watoto watasikia ujueNaomba unizalie mtoto
Ah nilijua tuko PM...Babu ongea taratibu bhanaa.. Watoto watasikia ujue
ndo unifundishe mie darasa la 7 sijui lugha hizo we humuoni diamond alivyofundishwa na zari mpaka anajuahahahaha mi nacheka na vingeledha vyenyu tu! wala sijakukosoa..
mmmmmmmhwas missn u