Hello, I'm a new member to JF. Please, your cooperation will be meaningful to me

Hello, I'm a new member to JF. Please, your cooperation will be meaningful to me

Evelyn Salt, najua unajua kizungu kuliko mimi, na kama itawezekana itabidi uniongezee mbinu za kukijua zaidi.
Mkuu sikijui, walau nikipata chupa tatu hivi ndo kidogo kinapanda ila hivi hivi.....hamna kitu.
 
Mkuu kumbe unajua kiswahili, me nilijua jf imepata mgeni wa kizungu huko daah
Hamna Cassnzoba, bado tunajifunza, hivyo, huwa tunajisikia vizuri zaidi tukitumia lugha ambayo tunaifanyia mazoezi.
 
Mkuu sikijui, walau nikipata chupa tatu hivi ndo kidogo kinapanda ila hivi hivi.....hamna kitu.
Mimi ni mgeni humu JF, ila, nilikuwa nasomaga sana machapisho yako kabla sijajiunga kwenye hii familia. So, I'm so sure that you do understand English language in details.
 
Mimi ni mgeni humu JF, ila, nilikuwa nasomaga sana machapisho yako kabla sijajiunga kwenye hii familia. So, I'm so sure that you do understand English language in details.
Karibu sana jf, mie ndio kiongozi humu....ukiwa na shida yoyote nicheki.
 
Karibuni sana tunataka kujua wewe mwenzetu ni mzungu wawapi kati ya Nchi hizi hapa chini

Kwa mtongole
BunjuB
Kibaha
Kigogo fresh
Mwana nyamara
Kizota
Ama zunguni Kwa masisita.

Humu jf tutakutana na WA Israel wa igoma,kisesa,sengerema na Tandale

Halikadharika Kuna warusi wa Kwa mrombo,rombo, kigamboni,
Ngarenalo,USA river ,ifugandi,
Na nyahanga.

Mara kadhaa utakutana na waarabu wa kisarawe,kibiti, handeni nk

Kumbuka huku jf Kila mtu ana gari lake Kali simu Kali zisizo pungua3 na ana kazi nzuri ni mwalimu pekee ndie huhesabiwa ni mwajiliwa asiye na kazi yenye kipato kizuri.

Kwa hayo machache nichukue fursa hii kukukaribisha Tena na tena karibu sana
 
Back
Top Bottom