Hello I’m new here

Hello I’m new here

Ndio lakini labda kuwashawishi watu waje mahali biashara yako ilipo lakini ni vigumu kubadili fedha na bidhaa hapa
Kama business yake ni ya online anaweza kuwapa details za kupata info maybe kwenye page yake ya Instagram ili waweze kufanya business bila direct negotiation
 
Kama umesoma all requirements za kutangaza na umezifuata.., logic inaniambia huenda sababu ni mgeni..., yaani post ya kwanza unapiga hodi ya pili unatuletea Tangazo la kutuuzia bidhaa ?, huenda (sina uhakika) inabidi uwe member wa wadhfa fulani kuweza ku-post...

Don't qoute me its just an assumption while trying to remove the impossible from the possibles..., Sherlock Holmes Style....
 
Kwa mara ya kwanza mgeni siku ya kwanza amefikisha 8 tupo vizuri kwenye kuchangamkia fursa 🤦🤪🏃😅
 
Kama umesoma all requirements za kutangaza na umezifuata.., logic inaniambia huenda sababu ni mgeni..., yaani post ya kwanza unapiga hodi ya pili unatuletea Tangazo la kutuuzia bidhaa ?, huenda (sina uhakika) inabidi uwe member wa wadhfa fulani kuweza ku-post...

Don't qoute me its just an assumption while trying to remove the impossible from the possibles..., Sherlock Holmes Style....

I guess so... coz nilifungua accnt juzi na kuposti hapohapo so maybe
 
Kama business yake ni ya online anaweza kuwapa details za kupata info maybe kwenye page yake ya Instagram ili waweze kufanya business bila direct negotiation

Nina instagram ya biashar mkiniruhusu nitawaandikia username humu
 
Mgeni mwenzangu karibu pm tujadiliane jinsi yakudeal nahawa wenyeji (wajumbe)
 
Back
Top Bottom